Vodacom internet ni kerooo..!

Vodacom internet ni kerooo..!

Natumia kifurushi cha 30,000/= hakina tatizo lolote.
 
MKUU JARIBU KUMOVE TOKA PANDE MOJA KWENDA NYINGINE LAZIMA UTAPATA NCHA ITAKAYOKUPA SPEED YA UKWELI, IKIWEZEKANA HAMIA CHUMBA KINGINE AU NUNUA MALE TO FEMALE USB EXTENSION NA UITUMIE KAMA ANTENNA YAKO THEN TULETEE MSHINDO NYUMA(FEEDBACK)

31701_1600x1600.jpg
hivi vitu vinapatikana pande zipi maana zilizopo maduka mengi ni zile nyeusi na nyeupe ambazo nyingi ni makapi tu
 
siku hizi naona tigo si haba, kwa jero tu unaunga siku nzima afu kwa mimi nimeona minimum spidi ni kama hii hapo chini, haishuki zaidi ya hapo
attachment.php

untitled.JPG
 
siku hizi naona tigo si haba, kwa jero tu unaunga siku nzima afu kwa mimi nimeona minimum spidi ni kama hii hapo chini, haishuki zaidi ya hapo
attachment.php

MBONA YA KONO KONO HIYO..?
WENZIO WANAKAMATA 7000-8000 kbps weye edge ya 250 kbps alafu hata bars za 3G mchemsho hapo teh teh teeh
 
Mimi VODA sitoki nawafagiloa.huyo mleta mada nafikiri anaishi sehemu ambayo si Rafiki na mtandao wa voda.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Pole sana,vodacom tulikuwa na tatizo la internet ambalo limeshatatuliwa japo haijawa stable,hilo tatizo lilikuwa la siku ya jana na leo,lakini kama tangu ununue bundle internet ipo slow naomba unitumie number yako ASAP ili tushughulikie tatizo lako. #VodacomPowerToYou #Ahsante 🙂

So,mkuu ndio voda mwenyewe au?
Nasikia humu mmo wengi,lakini hamjiweki wazi ili mtusaidie.Nimechek join date yako na no. ya posts nimeanza kupatwa na hofu ikiwa kweli umo humu kusaidi wateja wenu au kuna shughuli mahsusi umetumwa kuja kufanya humu.
 
Kweli kabisa wanazingua sana yaan nusu saa nzima inaloading.... Yenyewe tuuu
 
tayari umeshahabarishwa na watumiaji kuwa eneno hadi eneo ndio mpango mzima, tumia tigo , zain, na pia kuna smile siku hizi wanatoa hadi 4G hadi utapopata panapokiridhisha. usije ukalalama tu kuwa na hiyo 4g inakukera maana unaonekana unatanga tanga mnoo
 
we vp tena sema inakushinda tumia ....watu hii ndo ponea yetuna siku zote matatizo ya kimtandao ni tatizo la kawaida sana jaribu kwangu nakupa trial ya siku nZima
labda unipe trial ya wiki nzima,trial ya siku moja haiwezi tosha kuonyesha uimara ,wiki nzima ikiwa stable ndio nitaelewa,
 
umechangia kwa kukurupuka hujasoma uzi wote, kuna anayeish posta, naye anasema voda inazingua sasa sijui wewe unaish makao makuu ya vodakom??


Mimi VODA sitoki nawafagiloa.huyo mleta mada nafikiri anaishi sehemu ambayo si Rafiki na mtandao wa voda.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
labda unipe trial ya wiki nzima,trial ya siku moja haiwezi tosha kuonyesha uimara ,wiki nzima ikiwa stable ndio nitaelewa,

Biashara ya hivo hakunaga endelea kula sukari ya tigo,voda,na zantel

sisi tutaendelea na "smile" yetu na picha ulioneshwa ni juu yako sasa
 
umechangia kwa kukurupuka hujasoma uzi wote, kuna anayeish posta, naye anasema voda inazingua sasa sijui wewe unaish makao makuu ya vodakom??
huko posta ndio kupo ovyo kinoma interms of network. hakuna minara mingi. antenna zimetegeshwa juu ya majumba. ukiingia ndani ya majumba hiyo network ya simu tu utata. hadi utoke nje ndio uelewane na unayempigia simu.
itakuja kuwa internet, tena 3G??
 
kwa kweri Voda hawana mpinzani kabisa. pia speed ya network inategemea na eneo ulilopo na wingi wa watumiaji akati huo.
speed1.PNG hapo ni Vodacom eneo la chumba cha jirani lakini kwangu speed kama kobe mlemavu.
 
acheni kutapeli watu na kula 10,000/= za watu hayo madudu mnayoyasema na yenyewe ni kerrooo tupu, kuna wakati inakata then unaisubiria hadi unakoma! rahis aghali

msidanganye watu hapa,
niliingia mkenge mkanila buku10 yangu siriduiii tena!! people kuweni makini na hawa watu!!!

Peleka hiyo mashine yako kwa fundi, tatizo ni kompyuta yako na sio hii MKOMBOZI yetu.
Tangu januari mwaka huu sina tena wasiwasi wa gharama za net. Elfu kumi tu kwa mwezi internet unapakua kadri unavyotaka.
 
Back
Top Bottom