Vodacom internet ni kerooo..!

stineriga yani nashukuru kwa kunisaidia kusemea tatizo hili.
Mi nilijua ni Mi mwenyewe kumbe tuko wengi,loh Mi sijawahi ona matatizo kama haya ingali tupo Ulimwengu wa DIGITAL.
Ingali mara nyingi ni na simu ila cjawahi onaga tatizo hili,ila kwa kuwa tuna wakuu wetu wazuri sana hakika hata hili litaisha mara moja!
Cc kwa;

Invisible
Paw

Na Mods wote walengwa!
Kumbukeni serikali ya mafisadi ina ujio mkubwa kama mnavyoelewa wajamen!

Kila la Kheri Wakuu!
 
Last edited by a moderator:
ni kweli voda internet imekuwa kero, kwa kama siku saba hivi imekuwa vigumu kupata vifurushi vya net kwa kutumia *149*01#. huwa natumia kile cha mb 100 shs 700,siku hizi kila nikijaribu napata jibu the service is current unavailable!!! Sijui ni mimi tu au ni wote!!!
 
ni kweli voda internet imekuwa kero, kwa kama siku saba hivi imekuwa vigumu kupata vifurushi vya net kwa kutumia *149*01#. huwa natumia kile cha mb 100 shs 700,siku hizi kila nikijaribu napata jibu the service is current unavailable!!! Sijui ni mimi tu au ni wote!!!
hiyo ni kwako tu
 
Si kwako peke yako, mi nilichofanya ni kununua internet kwa rafiki. Voda sina hamu nayo. Unlimited ya siku saba imeisha nimeshindwa hata kuatach 500kb file.

That's a lie....au labda ni kwako tu..au umetumwa..but trust me Voda ndo mkomboz wa internet kwan bei zao ni cheap sn..bonyeza *149*01#....kuna vifurush kibao mfuko wako tu...kwa matumiz ya kawaida huwa nawaza Cheka nao ya sh 500 unapata 20 mins mitandao yote,60 mb,plus sms per day..ikifika saa 4 usiku naeka wajanja night tsh 200 tu unapata unlimited internet..mfano Jana nimeshusha over 3gb movies..thanks to android my 4ne inakamata H 24/7...ukiona Voda inazingua that might be temporary prob otherwise eneo ulilopo amna 3g ya voda but u can't still do roaming
 
Peleka hiyo mashine yako kwa fundi, tatizo ni kompyuta yako na sio hii MKOMBOZI yetu.
Tangu januari mwaka huu sina tena wasiwasi wa gharama za net. Elfu kumi tu kwa mwezi internet unapakua kadri unavyotaka.
matipoz ids Paje at work,
 
Last edited by a moderator:
mchina hapa unahusikaje, mtu anatumia internet ya kwenye modem na tena hizo modem ni wenyewe voda wameziuza , usiandike kwa kukurupuka na wewe uonekane umechangia!



ameona nini, kwahiyo modem za voda wanazoziuza wenyewe ni mchina??!! ushabiki mbuzi!

Umeskia mtu akitaja neno modem apo?..me naona unakurupuka tu ku criticize kitu ambacho ata ujaelwa...GAL dude
 
Back
Top Bottom