Vodacom internet ni kerooo..!

Vodacom internet ni kerooo..!

hiyo ya Paje nayo si ya uhakika, kuna wakati inakata kabisaaa, hadi tena uanze kuisubiria!! rahis aghali,
kama ulivyofahamishwa kuna mambo mengi yanaathiri speed na stability...... pia unatakiwa uipatie na uijuulie mistari yake.... hebu angalia huu mwendo , umemaliza speedometer yote......

chupidi.png
na angalia hapa chini hii upload speed ni ya kutishaaa.... 5Mbps
upload speed2.png
 
Pd proxy ndio kitu gani ndugu,naomba nifahamishe si unajua sio wote ni taalamu wa net.
 
Pd proxy ndio kitu gani ndugu,naomba nifahamishe si unajua sio wote ni taalamu wa net.
ni aina fulani ya kuficha uso. I mean your personal identity while you are on the internet such as your computer's IP address, hii huwa inabadilika kabisa, kwa mfano utaonekana upo marekani kumbe upo kisarawe mkoa wa pwani....
 
Duh..... umenena vyema, alafu mdogo wangu Mr. madevu kuna nyingine ya kuficha Masaburi inaitwa Tunnel Guru
 
Last edited by a moderator:
Nadhani wakati umefika sasa kuwahamasisha watu wetu tuachane na VODACOM, Mie nimeliwa juzi pia elfu 30 yangu nina kazi za research inabidi kudownload mambo mengi nakwambia ni kero tupu, nilikuwa na mpango wa kuwatokea kesho ofisini kwao makao makuu nikalalamike!

Kwa nini wasiwe public kwa wateja wao kama kuna shida tuambiwe? Hawa jamaa shareholders wao ndo wale wale tunaowasema kila siku nadhani ni kuhamasisha wananchi nchi ili kususia huduma za hawa jamaa,

Asante kwa sharing yako keep it up!!!!!!!!!!!!!!

nyie hama tu, kuna watu tuko very loyal kwa vodacom.. Wajanja
 
Voda tatizo lao kubwa lipo kwenye upload speed ila mengine ni full kujilamba na kama wakirekebisha hiyo upload speed ikawa kama download speed kama wenzao wa Tigo wenye 4G ya kufikirika basi itakuwa ndiyo number one
 
Nyie mtakuwa mnaishi maeneo ambayo siyo rafiki na Voda.
Kwa mtazamo wangu voda sasa haina mpinzani maana ipo stable, speed ya ukweli na promo za kufa mtu.
Kuna watu wanaitwa mabundi humu shauri ya kukesha na voda yaani kwa tsh 200 tu unashusha zaidi ya 10 gb kwa usiku mmoja so tatizo la kiufundi lililojitokeza leo ni jambo la kawaida tu haliwezi kuwa sababu ya kukoroma ki hivyo.

Aisee unazunngumza umu uwe fact kwenye arguements zako, mimi nipo huku posta mpya huku lkn net ni tatizo inasoma sometime 0, sasa hayo maeneo rafiki waa voda ni yapi? acha propaganda, they must come up with solutions!
 
Ok, asante kwa ufafanuzi, ila ningependa kujua tena kuhusu hio TUNNEL GURU, inaweza kunirahishia kuongeza speed ya internet kwa mimi ninaetumia modem
 
Aisee unazunngumza umu uwe fact kwenye arguements zako, mimi nipo huku posta mpya huku lkn net ni tatizo inasoma sometime 0, sasa hayo maeneo rafiki waa voda ni yapi? acha propaganda, they must come up with solutions!

Dah... pole sana kamanda !!!!
Wenzio wanakula maisha kilaini kama vip i ingia tigo maana voda haipo friendly huko kwenu
 
acheni kutapeli watu na kula 10,000/= za watu hayo madudu mnayoyasema na yenyewe ni kerrooo tupu, kuna wakati inakata then unaisubiria hadi unakoma! rahis aghali

msidanganye watu hapa,
niliingia mkenge mkanila buku10 yangu siriduiii tena!! people kuweni makini na hawa watu!!!

tunnel guru ...pd proxy ni hatare kwa speed.

View attachment 96184

nyie endeleeni kubwabwaja sie tunakula vitu lainiiiii!!!

wambie mkuu waache wachomoe sijui hizo 30 na hamna wanachokipata

PM mtu sasa hapo ni just buku 10000 tu unadownload kwa speed unazoziona

ni aina fulani ya kuficha uso. I mean your personal identity while you are on the internet such as your computer's IP address, hii huwa inabadilika kabisa, kwa mfano utaonekana upo marekani kumbe upo kisarawe mkoa wa pwani....
 
Aisee unazunngumza umu uwe fact kwenye arguements zako, mimi nipo huku posta mpya huku lkn net ni tatizo inasoma sometime 0, sasa hayo maeneo rafiki waa voda ni yapi? acha propaganda, they must come up with solutions!

MKUU JARIBU KUMOVE TOKA PANDE MOJA KWENDA NYINGINE LAZIMA UTAPATA NCHA ITAKAYOKUPA SPEED YA UKWELI, IKIWEZEKANA HAMIA CHUMBA KINGINE AU NUNUA MALE TO FEMALE USB EXTENSION NA UITUMIE KAMA ANTENNA YAKO THEN TULETEE MSHINDO NYUMA(FEEDBACK)

31701_1600x1600.jpg
 
jombaa amesema yupo POSTA lakini net ya VODA inasumbua, kwahiyo hata posta VODACOM haipo friendly?? Kweli kuna watu mumezoea kuropoka, na hapa si jukwaa la kusema ovyo.

Dah... pole sana kamanda !!!!
Wenzio wanakula maisha kilaini kama vip i ingia tigo maana voda haipo friendly huko kwenu
 
jombaa amesema yupo POSTA lakini net ya VODA inasumbua, kwahiyo hata posta VODACOM haipo friendly?? Kweli kuna watu mumezoea kuropoka, na hapa si jukwaa la kusema ovyo.
Mbona mimi wa kariakoo Maeneo ya Benjamin Mkapa nawapata vizuri tu.
Isije mkawa mmeset edge kwenye vinyafuzi vyenu, ebu mjaribu kuset dashboard zenu kuwa WCDMA ONLY then muelekeze antenna Kisarawe au Makongo juu
 
Kwa muda mrefu nilikuwa natumia zantel internet na ukweli haijawahi kuniangusha sana, huwa naweka cha 20,000/=

kuna kipindi nikaweka kile cha voda cha 20,000/= , spidi ni nzuri ila kuna wakati inakata hadi kero. nikarudi tu zantel nikaendelea kutumia kifurushi cha 20,000/= spidi nzuri na haikati kati kama voda inavyokata.

sasa wiki iliyopita nikaona ngoja niweke kifurushi cha voda kile cha 30,000/= ambacho ni unlimited , lakini toka nikiweke nimejuuuta, net inakata hata kwa dk 10, au kuna muda ninastuck kwenye authentication mpaka nirudierudie kukoneckt!!

nasema sitaweka tena kifurushi cha internet cha voda !

KABAAAAAAANG! Yaani raha tupu 3g ya uhakika
 
acheni kutapeli watu na kula 10,000/= za watu hayo madudu mnayoyasema na yenyewe ni kerrooo tupu, kuna wakati inakata then unaisubiria hadi unakoma! rahis aghali

msidanganye watu hapa,
niliingia mkenge mkanila buku10 yangu siriduiii tena!! people kuweni makini na hawa watu!!!

we vp tena sema inakushinda tumia ....watu hii ndo ponea yetu

na siku zote matatizo ya kimtandao ni tatizo la kawaida sana jaribu kwangu nakupa trial ya siku nZima
 
Back
Top Bottom