Vodacom internet ni kerooo..!

stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
2,030
Likes
47
Points
145
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
2,030 47 145
Kwa muda mrefu nilikuwa natumia zantel internet na ukweli haijawahi kuniangusha sana, huwa naweka cha 20,000/=

kuna kipindi nikaweka kile cha voda cha 20,000/= , spidi ni nzuri ila kuna wakati inakata hadi kero. nikarudi tu zantel nikaendelea kutumia kifurushi cha 20,000/= spidi nzuri na haikati kati kama voda inavyokata.

sasa wiki iliyopita nikaona ngoja niweke kifurushi cha voda kile cha 30,000/= ambacho ni unlimited , lakini toka nikiweke nimejuuuta, net inakata hata kwa dk 10, au kuna muda ninastuck kwenye authentication mpaka nirudierudie kukoneckt!!

nasema sitaweka tena kifurushi cha internet cha voda !
 
Likwanda

Likwanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Messages
3,890
Likes
97
Points
145
Likwanda

Likwanda

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2011
3,890 97 145
Mtafute Paje, uwe na elfu kumi yako tu mambo yatakua mazuri mwezi mzima huku ukijipimaa kiwango utakacho. Lakini naona ni leo tu, mbona siku zingine ipo poa sana.
 
Last edited by a moderator:
N

nellyzk

Senior Member
Joined
May 24, 2013
Messages
157
Likes
14
Points
35
N

nellyzk

Senior Member
Joined May 24, 2013
157 14 35
kaka si bora uwe unatumia pd proxy
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Nadhani wakati umefika sasa kuwahamasisha watu wetu tuachane na VODACOM, Mie nimeliwa juzi pia elfu 30 yangu nina kazi za research inabidi kudownload mambo mengi nakwambia ni kero tupu, nilikuwa na mpango wa kuwatokea kesho ofisini kwao makao makuu nikalalamike!

Kwa nini wasiwe public kwa wateja wao kama kuna shida tuambiwe? Hawa jamaa shareholders wao ndo wale wale tunaowasema kila siku nadhani ni kuhamasisha wananchi nchi ili kususia huduma za hawa jamaa,

Asante kwa sharing yako keep it up!!!!!!!!!!!!!!
 
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
2,030
Likes
47
Points
145
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
2,030 47 145
Mtafute Paje, uwe na elfu kumi yako tu mambo yatakua mazuri mwezi mzima huku ukijipimaa kiwango utakacho. Lakini naona ni leo tu, mbona siku zingine ipo poa sana.
hiyo ya Paje nayo si ya uhakika, kuna wakati inakata kabisaaa, hadi tena uanze kuisubiria!! rahis aghali,
 
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
2,030
Likes
47
Points
145
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
2,030 47 145
mkuu unachosema ni kweli tupu,
yani leo nimeamka asubuhi nifanye mambo yangu nilivyostuck muda mrefu kwenye authentication hadi kero, nilipatwa na hasira sana! na ukifanikiwa kukonekt kidogo tu inakata up speed 0, down speed 0, chini kushoto inasoma Local Only! yani ni uwizi mtupu! bora elfu30 yangu ningeweka kifurushi cha zantel cha 5gb cha elfu 20 na chenji ningepata!!

Nadhani wakati umefika sasa kuwahamasisha watu wetu tuachane na VODACOM, Mie nimeliwa juzi pia elfu 30 yangu nina kazi za research inabidi kudownload mambo mengi nakwambia ni kero tupu, nilikuwa na mpango wa kuwatokea kesho ofisini kwao makao makuu nikalalamike!

Kwa nini wasiwe public kwa wateja wao kama kuna shida tuambiwe? Hawa jamaa shareholders wao ndo wale wale tunaowasema kila siku nadhani ni kuhamasisha wananchi nchi ili kususia huduma za hawa jamaa,

Asante kwa sharing yako keep it up!!!!!!!!!!!!!!
 
Mr Kicheko

Mr Kicheko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
826
Likes
29
Points
35
Mr Kicheko

Mr Kicheko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
826 29 35
Nyie mtakuwa mnaishi maeneo ambayo siyo rafiki na Voda.
Kwa mtazamo wangu voda sasa haina mpinzani maana ipo stable, speed ya ukweli na promo za kufa mtu.
Kuna watu wanaitwa mabundi humu shauri ya kukesha na voda yaani kwa tsh 200 tu unashusha zaidi ya 10 gb kwa usiku mmoja so tatizo la kiufundi lililojitokeza leo ni jambo la kawaida tu haliwezi kuwa sababu ya kukoroma ki hivyo.
 
Mr Kicheko

Mr Kicheko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
826
Likes
29
Points
35
Mr Kicheko

Mr Kicheko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
826 29 35
mkuu unachosema ni kweli tupu,
yani leo nimeamka asubuhi nifanye mambo yangu nilivyostuck muda mrefu kwenye authentication hadi kero, nilipatwa na hasira sana! na ukifanikiwa kukonekt kidogo tu inakata up speed 0, down speed 0, chini kushoto inasoma Local Only! yani ni uwizi mtupu! bora elfu30 yangu ningeweka kifurushi cha zantel cha 5gb cha elfu 20 na chenji ningepata!!
kosa la siku moja haliachishi mke kaka!!!!
labda nawe upo eneo lisilo rafiki na voda,kumbuka voda haina mshindani kwa speed iliyonayo pia ujue kuna kifurushi cha 5gb kwa tsh 20,000 ambacho ni bora kuliko cha 30 ulichoweka ebu zinduka kijana
 
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
2,030
Likes
47
Points
145
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
2,030 47 145
Nyie mtakuwa mnaishi maeneo ambayo siyo rafiki na Voda.Kwa mtazamo wangu voda sasa haina mpinzani maana ipo stable, speed ya ukweli na promo za kufa mtu.Kuna watu wanaitwa mabundi humu shauri ya kukesha na voda yaani kwa tsh 200 tu unashusha zaidi ya 10 gb kwa usiku mmoja so tatizo la kiufundi lililojitokeza leo ni jambo la kawaida tu haliwezi kuwa sababu ya kukoroma ki hivyo.
naish dar es salaam tena town kabisaa hapa sinza legho, sasa unaposema hayo maeneo ambayo siyo rafiki na voda isjui una-refer maeneo gani??? nina laini mbili za voda ya modem ndio nilijiunga cha elfu30 speed mbovu, nimetoa laini yangu kwenye simu nimeweka hicho cha 200 cha wajanja napo baaaado ni keroooo!!
 
MBWA WA MANZESE

MBWA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
1,625
Likes
75
Points
145
Age
44
MBWA WA MANZESE

MBWA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
1,625 75 145
voda inazingua lakini iko na comparative advantage dhidi ya zantel, zantel is inferior to vodacom
 
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
2,030
Likes
47
Points
145
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
2,030 47 145
kosa la siku moja haliachishi mke kaka!!!!labda nawe upo eneo lisilo rafiki na voda,kumbuka voda haina mshindani kwa speed iliyonayo pia ujue kuna kifurushi cha 5gb kwa tsh 20,000 ambacho ni bora kuliko cha 30 ulichoweka ebu zinduka kijana
huwezi kuamini nimeweka pembeni laini zote mbili za voda, baada ya kuangalia saa kumbe saa 6 usiku imefika nimechukua modem yangu ya airtel! yani voda internet ku-reply post mpaka ukopi kwanza , sababu unahofia unaweza submit isifike hivyo utaanza andika upya! hicho cha elfu20 cha voda nakijua niliwahi weka nacho chenga tu, tatizo sio speed, tatizo ni kukata kata!
 
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
2,030
Likes
47
Points
145
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
2,030 47 145
voda inazingua lakini iko na comparative advantage dhidi ya zantel, zantel is inferior to vodacom
zipi hizo ebu zitaje. zantel wapo vizuri net haikati kati ovyo kama hivi, yani naona kama nimedhulumiwa elfu30 yangu, manake kama hali itaendelea hivi kwa kesho na kesho kutwa, itabidi nijiunge kifurushi kingine cha mtandao mwingine! bora ningejiunga hata na cha icard cha tigo!!!!
 
Little Angel

Little Angel

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
1,216
Likes
7
Points
135
Age
35
Little Angel

Little Angel

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2011
1,216 7 135
naish dar es salaam tena town kabisaa hapa sinza legho, sasa unaposema hayo maeneo ambayo siyo rafiki na voda isjui una-refer maeneo gani??? nina laini mbili za voda ya modem ndio nilijiunga cha elfu30 speed mbovu, nimetoa laini yangu kwenye simu nimeweka hicho cha 200 cha wajanja napo baaaado ni keroooo!!
voda internet yao ovyo sana.mi kuna wakat najiunga najikuta bundle imeisha na hamna cha maana nilichofanya...wanaboa sana na nipo hapahapa town...
 
Little Angel

Little Angel

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
1,216
Likes
7
Points
135
Age
35
Little Angel

Little Angel

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2011
1,216 7 135
Pole sana,vodacom tulikuwa na tatizo la internet ambalo limeshatatuliwa japo haijawa stable,hilo tatizo lilikuwa la siku ya jana na leo,lakini kama tangu ununue bundle internet ipo slow naomba unitumie number yako ASAP ili tushughulikie tatizo lako. #VodacomPowerToYou #Ahsante :)
sio jana na leo tu...mara kibao net ipo down sana..rekebisheni plz.
 
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
2,030
Likes
47
Points
145
stineriga

stineriga

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
2,030 47 145
Pole sana,vodacom tulikuwa na tatizo la internet ambalo limeshatatuliwa japo haijawa stable,hilo tatizo lilikuwa la siku ya jana na leo,lakini kama tangu ununue bundle internet ipo slow naomba unitumie number yako ASAP ili tushughulikie tatizo lako. #VodacomPowerToYou #Ahsante :)
mkuu tuna tatizo kubwa sana, manake vifurushi na pesa zetu zinaliwa bila kupata satisfaction ya huduma ! sasa wewe unakuja hapa unaongea kama nani ebu jitambulishe kwanza, manake usifanye mzaha pasipo na mzaha.
 
stata mzuka

stata mzuka

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Messages
4,848
Likes
252
Points
160
stata mzuka

stata mzuka

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2012
4,848 252 160
Kweli mkuu Net yao ipo slow then kukata ndo usiseme,,,mi namalizia bundle zangu then nihamie Zantel.
 
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined
Nov 16, 2008
Messages
1,340
Likes
234
Points
160
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined Nov 16, 2008
1,340 234 160
naish dar es salaam tena town kabisaa hapa sinza legho, sasa unaposema hayo maeneo ambayo siyo rafiki na voda isjui una-refer maeneo gani??? nina laini mbili za voda ya modem ndio nilijiunga cha elfu30 speed mbovu, nimetoa laini yangu kwenye simu nimeweka hicho cha 200 cha wajanja napo baaaado ni keroooo!!
Mkuu stineriga huyu Mr Kicheko yuko sahihi kabisa, hii mitandao yetu huwa inakuwa vizuri kwa baadhi ya maeneo na location nyingine ni kichefu chefu tupu na hii si kwa voda tu bali ni kwa mitandao yote.

voda internet yao ovyo sana.mi kuna wakat najiunga najikuta bundle imeisha na hamna cha maana nilichofanya...wanaboa sana na nipo hapahapa town...
Kuwa town si hoja kamanda.....just imagine mie nipo maeneo ya uswazi Manzese Voda inaburuza vibaya tena haina mpinzani, si tigo,zantel,wala Airtel.
Nikibeba laptop yangu kuelekea kwa Aunt Pale Mwembe-chai speed ya voda magumash tupu na ni kipandisha nayo Yombo kilakala kwa wazee ndiyo sipati kabisa 3G ya voda na Zantel maana kule inatesa Airtel ikifuatia Tigo so Angalia Mtandao upi upo vyema maeneo ya Kwenu ndiyo ushikamane nao.
Tofaut hii ya location na gharama za bundle ndiyo inayotufanya tuwe na Multipurpose Modem na siyo kingine.

View attachment 96184

nyie endeleeni kubwabwaja sie tunakula vitu lainiiiii!!!
SI MCHEZO AISEE
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,273,856
Members 490,528
Posts 30,493,607