Mkuu unataka kutumia hicho kifurushi kwenye modem? Yatakuwa masikhara hayo sasa. Hicho matumizi yake kwenye simu.
...Wewe Wasema! Wao hawajasema kwamba hicho kifurushi kipya ni kwa ajili ya Simu tu! Usiwatetee, Ni wizi mtupu...!:spy:
Jifunze kureason ndugu yangu sio kutoa maneno tu..bundle ya 5MB unafungua nini sasa kwenye PC ukiwa na Modem..kinaisha kabla hujamaliza shughuli yako..jamaa wanakupa kisha wanakwambia download na music kwa akili ya haraka utadownload muziki kwa kifurushi cha 5MB? Sio kila kitu mpka uambiwe mkuu.
eti kwa 250 utaweza kudownload miziki,updates,habari za michezo mbalimbali kifurushi chenyewe unapewa Mb5.wakati unakuta nyimbo moja ina mb10. Wadau hii imekaaje?
Kijana hii post iliwekwa kabla Vodacom hawa-reload hiyo bundle so nilimjibu kwa namna hiyo...however sio wateja wote wanapata MB hizo..fahamu hilo.ni 25 mb bana not 5 mb.... :welcome:
Kijana hii post iliwekwa kabla Vodacom hawa-reload hiyo bundle so nilimjibu kwa namna hiyo...however sio wateja wote wanapata MB hizo..fahamu hilo.