vodacom huu si uongo?

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
eti kwa 250 utaweza kudownload miziki,updates,habari za michezo mbalimbali kifurushi chenyewe unapewa Mb5.wakati unakuta nyimbo moja ina mb10. Wadau hii imekaaje?
 
eti kwa 250 utaweza kudownload miziki,updates,habari za michezo mbalimbali kifurushi chenyewe unapewa Mb5.wakati unakuta nyimbo moja ina mb10. Wadau hii imekaaje?

Si miziki ya simu? Ipo ya kb 800 hadi mb1 pamoja na website za simu. Mi upande wangu ni kifurushi kizuri kwa watu wasio na matumizi makubwa ya net wanaotumia simu.
 
Mkuu unataka kutumia hicho kifurushi kwenye modem? Yatakuwa masikhara hayo sasa. Hicho matumizi yake kwenye simu.
 
hawa jamaa wez 2 MB 5 hazitosh hata kama ndo matumiz ya cm af wanaboa huu ni WIZI ktk chekatime ukiongea hata sekunde 1 unakatwa dk1
 
Hizo 5mb hata kama simu ni ya tochi bado wanachekesha. Nikifungua Jf Photo kurasa kadhaa si kwishilia huko, ebo!
 
ila hapo kwenye kuzidisha sek hata 1 unakatwa dk nzima wanatuibia live,kama kuna wadau wa vodacom mtasoma chukueni hiyo ishu afu muone mnafanyaje.
 
Hizo 5mb hata kama simu ni ya tochi bado wanachekesha. Nikifungua Jf Photo kurasa kadhaa si kwishilia huko, ebo!

Kama unatumia opera mini unajidanganya si kweli inaisha haraka homepage facebook ni kb 22 kwangu na opera mini na kila picha kb 11. So ina maana uload picha 400 (bila kudownload) ndo itaisha
 
Kama unatumia opera mini unajidanganya si kweli inaisha haraka homepage facebook ni kb 22 kwangu na opera mini na kila picha kb 11. So ina maana uload picha 400 (bila kudownload) ndo itaisha

Let's just say, hainifai, na baadhi ya geeks humu!
Ninapobrowse JF mfululizo data usage naona Opera Mini original size na received size, mb kadhaa zinatoka, hapo bado blogs, na kadha wa kadha.
 
Mb 5 zinaishia kwenye kufungua homepage ya jf yani huu wizi tu mchana mchana..tigo walikua wanatoa Mb 25 kwa simu ila zilikua zinakata bila kudownload music sasa hivi viMb vitano si bure kabisaa..biashara bana
 
Yah watu ni selfish siku zote hua wanajifkiria wao kama wao kama wewe una pc au smartphone ni yako wewe wenzako hawana.

imagine mtu ana nokia 2626 au nokia 6030 au visamsung hivi vidogo simu ina memory 3mb na haina memory card. Mb5 kwake ni nyingi sanaaa.

Sasa huyu mtu kuunga bundle ya unlimited wiki si kumuonea jaman? Au hata bundle ya 25mb ya sh 450 huon kama anaonewa? Hii ndo bundle yake itakayomfaa 250 kwa 5mb.

Kama mimi ningepata nafasi ya kuwashauri waeke hata bundles za 2mb maana hata hio 5 kuna watu hawamalizi. Kuna watu wao matumizi yao kucheki notification fb na kuangalia score za mpira livescore basi.

images

images
 
Mtu mzima unataka kuendesha baiskeli ya watoto halafu bado unalalamika haka kabaiskeli hakanitoshi kadogo kweli wangefanya iwe kubwa kidogo. Nunua kulingana na matumizi kaka acha kulalama hiyo kwetu siye imetuokoa saaana
 
Hapa ishu ni kwamba, wanalipa kikubwa kuliko wanachopewa.

Naskia watu wengi wanalalamika tunauziwa bundle bei ghali ila tanzania were lucky bundle zetu ni rahisi sanaa 250 kwa 5 mb ina maana mb1 ni sh 50. Hapo ghali?

Sisi tunazidiwa speed na sio bei ya bundles hebu pitia website ya safaricom cheki bei ya bundles at&t marekani ni dola 54 unlimited kwa mwezi wakati tz ni elf 30
 
Jaribu Zantel,''bt sio matangazo ya biashara''wako cheap sana 250 unapata 20Mb!..ktk moderm pia wako poa sana na hawana longolongo.
 
Naskia watu wengi wanalalamika tunauziwa bundle bei ghali ila tanzania were lucky bundle zetu ni rahisi sanaa 250 kwa 5 mb ina maana mb1 ni sh 50. Hapo ghali?

Sisi tunazidiwa speed na sio bei ya bundles hebu pitia website ya safaricom cheki bei ya bundles at&t marekani ni dola 54 unlimited kwa mwezi wakati tz ni elf 30

Voda hamna kitu. Huwezi calculate et 5Mb/250 useme ni 50 kwa kila 1Mb kwani hujui maana ya bundle????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom