Vodacom Hawajitambui.

Vodacom Hawajitambui.

Hawa jamaa dawa yao ni kuwa na laini nyingi wakipinguza vifurushi we nae unahama hiyo laini na kuhamia kwenye nyingine ambayo hujaitumia mda. Na wakiona umeiterekeza laini yao kwa mda wanarudisha vifurushi ili wakushawishi kuitumia ndo tunavoenda nao hawa nyau sio voda tu hata tigo na nk.
nimewaacha naona wananitumia buku buku mpesa eti gawio,sijui wananifananisha na serikali.
 
Mtandao kwa ajili ya mabeberu huu.... wanakaza balaa bila kujali zama za mawe za magu
 
Hakuna penye afadhali, tigo nao washenzi
 
Kifurushi changu pendwa kimeingia doa.

Nikiwa mtumiaji mkubwa wa internet hiki kilikuwa kifurushi changu pendwa.

Tsh. 2500 kwa 500MB ni unrealistic hata kama una hela kiasi gani.

Sitawahama voda, ntaendelea kutumia kwa kupiga na sms.

Ila kwa upande wa internet ntatumia Smile. Kwa Tsh. 14500 napata 10GB ambayo unaipata kwa Tsh. 50K kwa voda.

Kwaheri internet ya voda.View attachment 1138880
Mkuu, kwa matumizi yako ya wastani, hiyo 10 GB unatumia muda gani kuimaliza?
 
Leo voda wame puyanga nilidhani ni mm tu na nikawapigia kabsa maama kulikua hamna internet service kabisaa
 
Mimi mwenyewe nina laini ya voda toka mwka 2008 hadi leo now nimiibadisha kuwa ya chuo angalau gharama sio kubwa sana kununulia vifurushi ila pamoja na hayo kwenye net natumia halotel kifurushi cha royal inanipa internet bila kikomo mwezi mzima hata nishinde youtu.be mda wote na dakika 200 au 100 mitandao yote pia na ttcl laini ya chuo wako vizur 2500 inanipa gb3 kwa wiki ukita na dakika na sms wanakupakwa 2500 ila gb inapungua ni 2na nusu au 500 kwa mb 600 yaani nyumbani now kumenoga sana.
 
Voda wameniboa sana,,mi nilizoea kila wiki najiunga na bando la 500mb kwa jero Leo wanatoa 250mb,,yani nawakimbia rasmi Leo naenda ttcl..tutaonana Siku mkija na of a nzuri...hizi ni kero kwa wateja mjue pia.
 
Unahamia wapi mkuu? Mimi nataka nihamie TTCL
nimeshawatema leo leo voda hapa nimeifufua zantel yangu,

500 napata 400Mb siku 7
1500 ina 750mb na madk n sms kibao siku 7
10,000 ina 5gb plus dk kibao na sms, siku 30

Sema itabidi nihamie TTCL dakeki yaan hapa nilikuwa na sub za halotel, tigo, zantel na airtel ila yenye afadhali naoni ni zantel tu had sahiz angalau tigo
 
Back
Top Bottom