Vodacom free internet yet again :)) COMPLETELY OWENED.. do it FAST

Vodacom free internet yet again :)) COMPLETELY OWENED.. do it FAST

Pouwa nitashukuru sana,maana hawa VOD.wana2chakachua ile mbayaaaaaa.
 
Sorry but this does nat work anymore.. Systems are fixed, up an runin.. Pole kama imekupita.. Maybe next time ull be the first to know! 😛oa:
Mkuu m nisaidie kunipa maujanja ya voda maana napata tabu sana
 
Dah hii imenipitaje? Au iliwekwa invisible na admin. Mbona mimi jtgs ndio forum yangu ol da time next time naomba unitag mkuu e2themiza
 
Thread za mwaka juzi mnazirudsha kwenye chati.
Hapa tunarushana....
Mods iondoeni kama vp!
 
Pole, hebu angalia thread imerushwa mwaka gani. naamini hujambo lakini.

.
Hii hutokana na forum tofauti tofauti
.
Kuna forums nyingine huwa ikitokea thread imepita kama mwaka hivi
mtu aki post tena huwa wana i close...
.
 
Back
Top Bottom