Tatizo Airtel 4G speed yao ndogo,binafsi voda nimeshawachoka ila kuna wakati huwa natamani niitumie kutokana na kuwa na speed rafiki.Me airtel waga nikijiunga gb1 natumia siku mbili au moja ila nikijiunga voda ndani ya masaa wamili gb1 inaisha najiulizaga sipati jibu ila saiv nimeiweka kapuni kwanza mambo yakikaa sawa ntaitumia
Njoo mahakamani tukusaidie, hili lilianza baada ya serijkali ya wanyonge kumkataa yule mama mkenya asiwe mkurugenzi alafu wakamchomeka mtu wa sistim, umenielewaaaAise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe? Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana..
Voda kwangu imebaki na kazi ya mpesa tu. Issue za data ni Airtel pekee.Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe?
Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...Nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana.
Achana na mtandao huo Wa hovyo sanaAise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe?
Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...Nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana.
Market leader ktk telecom industry ni nani?Hivi bado kuna watu mnatumia voda?, aisee basi mna mioyo ya mbao
Wewe usinijibu mimi hivyoMarket leader ktk telecom industry ni nani?
Nakuja kukuomba msamaha mkuu.Wewe usinijibu mimi hivyo
πππππ nitakutangaza kwenye vyombo vyote vya habari kwa hiyo ujiandae kutangazwa mkuu ππππNakuja kukuomba msamaha mkuu.