Mara Ngapi Yanasemwa Humu ndani ya JF kuwa hao VODA NI WAHUNI hamsikiiii
Mnaona wanaoleta hoja hiyo ni Wazushi au Hawaipendi VODA
Sasa wewe endelea kuwa Mteja wa Voda kwani ''Asiye sikia la Mkuu Huvunjika Guu''
Vodacom mali ya nani?
Mkuu mi nilishamam siku nyingi.
Wizi mwingine uko kwenye cheka internet.
Wadau nimejaribu kufuatilia ofa ya Vodacom ya cheka time nikagundua hawa jamaa wanafanya uhuni. Kwa mfano ukinunua muda wa cheka time wa shs 400 unatakiwa upate dk 10 za maongezi na SMS 15 lakini hawa jamaa hawakupi dk 10 za maongezi km wanavyodai. Ikitokea umepiga simu kwa mtu chini ya dk 1 (kwa mfano sekunde 5 tu) wao wataihesabu kama dk 1. Kwa maana nyingine ukipigia watu 10 tofautitofauti na kila mmoja ukatumia sekunde 20 jamaa watahesabu dk 10 za cheka time zimeisha wakati umetumia sekunde 200 tu ambazo ni kama dk 3 na sekunde kadhaa. HUU NI UHUNI WA HALI YA JUU.
Hivi hatuwezi kujikusanya tukawashitaki hawa wahuni??? Wanasheria hebu tusaidieni hapa