VODACOM acheni uhuni

kaburunye

JF-Expert Member
May 12, 2010
672
74
Wadau nimejaribu kufuatilia ofa ya Vodacom ya cheka time nikagundua hawa jamaa wanafanya uhuni. Kwa mfano ukinunua muda wa cheka time wa shs 400 unatakiwa upate dk 10 za maongezi na SMS 15 lakini hawa jamaa hawakupi dk 10 za maongezi km wanavyodai. Ikitokea umepiga simu kwa mtu chini ya dk 1 (kwa mfano sekunde 5 tu) wao wataihesabu kama dk 1. Kwa maana nyingine ukipigia watu 10 tofautitofauti na kila mmoja ukatumia sekunde 20 jamaa watahesabu dk 10 za cheka time zimeisha wakati umetumia sekunde 200 tu ambazo ni kama dk 3 na sekunde kadhaa. HUU NI UHUNI WA HALI YA JUU.
 
We ndo umejua leo bob?..kalaghabao..wezi hao achana nao!
 
ndio maana wanasema vigezo vyote kuzingatiwa, hii hutumiwa na mashirika mengi yanayofanya biashara, you need to read the small print. hata zain wanavyosema internet kwa siku nzima kwa tshs 500 they dont mean all day ni kwamba its 200mb huitumie within 24 hours, but it sounds better na inavutia wengi wakisema all day kwa tshs 500/=
 
Mara Ngapi Yanasemwa Humu ndani ya JF kuwa hao VODA NI WAHUNI hamsikiiii

Mnaona wanaoleta hoja hiyo ni Wazushi au Hawaipendi VODA

Sasa wewe endelea kuwa Mteja wa Voda kwani ''Asiye sikia la Mkuu Huvunjika Guu''
 
Maweeeeeeeeeeeeeeeee. Wakola weitu maana naona tusiposikia tutavunjika shingo na si mguu tu
 
Wadau nimejaribu kufuatilia ofa ya Vodacom ya cheka time nikagundua hawa jamaa wanafanya uhuni. Kwa mfano ukinunua muda wa cheka time wa shs 400 unatakiwa upate dk 10 za maongezi na SMS 15 lakini hawa jamaa hawakupi dk 10 za maongezi km wanavyodai. Ikitokea umepiga simu kwa mtu chini ya dk 1 (kwa mfano sekunde 5 tu) wao wataihesabu kama dk 1. Kwa maana nyingine ukipigia watu 10 tofautitofauti na kila mmoja ukatumia sekunde 20 jamaa watahesabu dk 10 za cheka time zimeisha wakati umetumia sekunde 200 tu ambazo ni kama dk 3 na sekunde kadhaa. HUU NI UHUNI WA HALI YA JUU.

Unauliza jibu? Ulidhani VodaCom ni ya waungwana?
 
mi nilianzia baz sasa nipo tigooooooooooooooooooooooooooo karibu huku mtandao ni bure kabisaaaaaaaaaaa
 
Mkuu mi nilishamam siku nyingi.
Wizi mwingine uko kwenye cheka internet.

Hapa ndio usiseme, Kwenye matangazo yao wanasema tumia internet siku nzima kwa sh. 500, lakini wao wanakupa 15MB ambayo kwa matumizi yangu pengine ikaisha baada ya saa moja tu.
 
Wadau nimejaribu kufuatilia ofa ya Vodacom ya cheka time nikagundua hawa jamaa wanafanya uhuni. Kwa mfano ukinunua muda wa cheka time wa shs 400 unatakiwa upate dk 10 za maongezi na SMS 15 lakini hawa jamaa hawakupi dk 10 za maongezi km wanavyodai. Ikitokea umepiga simu kwa mtu chini ya dk 1 (kwa mfano sekunde 5 tu) wao wataihesabu kama dk 1. Kwa maana nyingine ukipigia watu 10 tofautitofauti na kila mmoja ukatumia sekunde 20 jamaa watahesabu dk 10 za cheka time zimeisha wakati umetumia sekunde 200 tu ambazo ni kama dk 3 na sekunde kadhaa. HUU NI UHUNI WA HALI YA JUU.

Sio 200Mb ni 20Mb
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom