Vodacom Acheni Uhuni


pole sana mkuu Bukyanagandi
 
Last edited by a moderator:
Mimi mkuu nimeacha hata kutumia modem yangiu ya Voda, mara ya kwanza ilikuwa kama miezi miwili iliyopita, niliweka shilingi elfu tatu ili nifungue JF, ikakubali na kunitumia msg.

Vile nafungua tu JF tu ikagoma, nikasema ngoja niangalie salio. Ndipo nilitumiwa msg kuwa sina salio kwenye huduma ya prepaid. Nikaweka tena vocha ya elfu mbili ikaliwa vile vile.

Nikajaribu tena siku ya pili yake mtindo ukawa ni ule ule, nilifikiri ni makosa yangu kumbe ndiyo ujambazi wao huo!!!!!
 
hapa kaka nimeunga 450 cha kushangaza wamelima mpaka cheji yangu iliyobaki
Mimi hiyo imenikuta mara nyingi mpaka nimezoea sasa. Nilichofanya nikutoa laini hiyo na kuweka Airtel.
 
Voda mmekua matapeli, haiwezekani leo naweka vocha dheni inaingia na [COLOR=#f0000]kutowema[/COLOR] ghafla hapo hapo naambiwa salio [COLOR=#f0000]langi[/COLOR] halitoshi, kama ndio tunaanza kulipa code kwa staili hiyo mtujize wateja wenu

'hivi mnakimbilia wapi hebu sawazisha maneno yako tukurudishie salio lako.............kama hurekebishi haturudishi hata kidogo'
 
kuna uhuni umeanza voda,me pia nimeweka salio ya buk 2,nikajiunga na cheka nao ya siku,nimepiga simu kwa watu wawili maongezi yasiyozidi dakika kumi kwa jumla mara salio langu halitoshi.
 
Mkuu hii sio promo kweli!!!!
Ko unatushauri nasi tutupe line za voda ili tubaki na airtel si ndio!
Acha hiyo mambo chalii yangu. Mi ninavyoona mitandao yote ina
namna ya kuwaibia rai
 
Hayo mimi yamenikuta zaidi ya mara tatu. Imefika wakati sasa wateja tuamue tujitoe vodacom tujiunge kwenye kampuni nyingine ambazo hazijaanza huu wizi kama tigo au airtel. Tatizo letu watz ni maamuzi ndio sababu sometimes watoa huduma wanatuonea. Tungeamua kwa pamoja kuchukua hatua wasingeendelea na upuuzi wao huu.
 

We ngoja tu! Kama hatujaanza kuwavua magamba mmoja mmoja.
 

Hata mimi yamenikuta kama hayo. Kwasasa hiv nimeamia airtel!
 
Mkuu hii sio promo kweli!!!! Ko unatushauri nasi tutupe line za voda ili tubaki na airtel si ndio! Acha hiyo mambo chalii yangu. Mi ninavyoona mitandao yote ina namna ya kuwaibia rai
Far from it, hakuna mambo ya promo wala nini wezi lazima wahanikwe adhalani - hatuwezi kufumbia macho kampuni zinazo wa rip off wananchi, sijapata tatizo kutoka mtandao wa AirTel na Tingo sasa kuna ubaya gani kusifia kampuni zenye UTU, inawezakana mitandao yote ina ujanja fulani wa kujinufahisha lakini huu wa VODA nikisema ni ujambazi ntakuwa sikosei. Mtu unawezaje kutumia elfu kumi within two minutes wakati unahongea within TANZANIA - hii inahingia akili kweli?
 

Jaribu kupunguza kupenda vya dezo kwa kuachana na cheka na badala yake utumie vocha kawaida uone nayo kama itakuwa na tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…