Vodacom 4G ni hatari

Vodacom 4G ni hatari

Wajitahid ifike na mikoani maana watumiaji wa mtandao wa voda ni wengi hasa nje ya DSM
 
Kiujumla bongo net ni chenga. Hata 3g ni ya kutafuta na tochi ukitoka hapa iko safi hapa shida. Hawajaituliza 3g wanatuzuga na 4g, tukumbuke 3g na 4g ni vifaa vinafungwa kwenye minara na kwa kuwa ni aghali kuna maeneo hawafungi na ndio sababu moja ya kufanya net iwe poor. Mfano Halotel walipoanza walifunga 3g minara yote hadi vijijini baadae kidogo wakaondoa minara ya vijijini. Hivyo kifupi hizi ni danganya toto tu! Yaani nitoke home kwenda posta kufuata 4g.
 
Back
Top Bottom