Leo katika kujaribu kununua ile daily unlimited ya 1000 nimeshindwa kuipata katika menu, badala yake kuna 500Mb kwa 1000. Ngoja niingie mtaani nikatafute Halotel sasa.
Dah mkuu Ilikuwa bado kidogo nifungue thread kuulizia hii kitu imekaaje, mimi nilikuwa nataka ya wiki ile ya 7000 nimekuta 10,000TSH-4GB
7,0000TSH-2GB
4,000TSH-1GB
Hii imezidi sasa inabidi serikali iingilie kati hii mitandao haiwezekani bei na huduma zinabadilishwa kimya kimya, angalau bei elekezi inayoeleweka iwekwe hata kama itakua juu lakini idumu kwa kipindi kinachoeleweka...out of curiosity kuna yoyote amewahi kutumia TTCL internet ?, Labda inaweza kuwa na manufaa zaidi
Mkuu hii speed ya TTCL ni ndogo sana hata kustream haiwezi?ni hao serikali ndogo na inataka hadi modem/simu issuport cdma.
unlimited mb, unlimited sms na dakika 700 kwa mwezi 28,000.
cheki vifurushi vyao hapa
http://www.ttcl.co.tz/Data_1X.asp
Mkuu hii speed ya TTCL ni ndogo sana hata kustream haiwezi?
Leo katika kujaribu kununua ile daily unlimited ya 1000 nimeshindwa kuipata katika menu, badala yake kuna 500Mb kwa 1000. Ngoja niingie mtaani nikatafute Halotel sasa.
Nafikiri ni wakati muafaka serikali itoe majibu kuhusu haya makampuni ya simu... Tuliambiwa kuwa mkongo wa taifa utapunguza gharama za internet kwa kiasi kikubwa mimi naona ni kinyume chake..kama kuna ufisadi ulifanyika kwenye mkongo wa taifa tuambiwe. Internet ni kitu muhimu sana kwa sasa na sio anasa gharama zinabidi kupungua