Voda unlimited bundle zimeyeyuka!?

Voda unlimited bundle zimeyeyuka!?

Leo katika kujaribu kununua ile daily unlimited ya 1000 nimeshindwa kuipata katika menu, badala yake kuna 500Mb kwa 1000. Ngoja niingie mtaani nikatafute Halotel sasa.

Maumivu tupu, tunalipia za uchaguzi
 
Nimenunua halotel, ila mpaka sasa nimeshindwa kuitumia nikipiga ile namba yao inasema sijasajiliwa wakati walisajili pale pale. Net haiingii, ngoja niwape musa labda wataiwasha soon.
 
Umeeka apn ya b-internet?
 
Hii kitu hata mimi imenistua sana.Na mbaya zaidi wamefanya mabadiliko bila taarifa.Hii ni kibri kuu
 
Leo katika kujaribu kununua ile daily unlimited ya 1000 nimeshindwa kuipata katika menu, badala yake kuna 500Mb kwa 1000. Ngoja niingie mtaani nikatafute Halotel sasa.

kanunue mkuu 800MB za kasi(unlimited) na mtandao wao haupotezi (H+)
 
HALOTEL hawana mpinzani kwa sasa, kila inaposhika mtandao ni 3G kwenda H+ hata kama porini vipi. Kiukweli VODACOM leo wamenikata maini sina mpango nao tena.
 
Tatz viongozi wetu wanaona internet ni kitu cha anasa...hivi katibu mkuu wa wizara anafanya kazi gani...mtendaji mkuu wa tcra yupo tu...hawana majibu kwa watanzania
 
Tatizo wengine hatuwezi kuhama mitandao kama daladala.

Voda wameniudhi sana.
 
kanunue mkuu 800MB za kasi(unlimited) na mtandao wao haupotezi (H+)
Hawa jamaa wa Halotel wanayo Unlimited? Manake sie wengine at least 15 hours upo active online... sasa hivi vifurushi ambavyo sio unlimited ni full maumivu!!! Baada ya Voda kutumwaga, nikaenda Smart lakini kwenye eneo langu Smart very poor
 
Mbongo unampa unlimited? Wabongo hawana kiasi... Wananyonya hao. Moivies n.k ili tu kutia hasara...
 
Tatizo wengine hatuwezi kuhama mitandao kama daladala.

Voda wameniudhi sana.
Nimetumia Voda Internet kwa miaka sasa lakini sina jinsi manake kile kifurushi chao cha 15 GB naweza kukimaliza ndani ya cku 5... so, nitahamia popote kwenye Unlimited though nimejaribu kwa smart, network yao mbovu maeneo yangu
 
Mbongo unampa unlimited? Wabongo hawana kiasi... Wananyonya hao. Moivies n.k ili tu kutia hasara...
Issue wala sio movies manake watu wa movies na series kuna night bundles ambazo hazina pressure kabisa... unaacha mzigo unashuka; mwenyewe unaenda kupiga mbonji. Uchumi wetu siku hizi umebadilika kwahiyo matumizi ya internet commercially ni makubwa vile vile hata ktk individula level
 
Minashangaa katika nchii vifurushi vya bandle ni bei raisi nitanzania lakini bado mnalalamika tuuu
 
Huu ni wizi. Kutuibia kimya kimya bila taarifa. Namimi sasa najitafutia mtandao nafuu, nihamue huko ktk ishu nzima za data.
 
Nimenunua halotel, ila mpaka sasa nimeshindwa kuitumia nikipiga ile namba yao inasema sijasajiliwa wakati walisajili pale pale. Net haiingii, ngoja niwape musa labda wataiwasha soon.

Fanya kumpigia mtu yoyote japo miss call itakubali.
 
Issue wala sio movies manake watu wa movies na series kuna night bundles ambazo hazina pressure kabisa... unaacha mzigo unashuka; mwenyewe unaenda kupiga mbonji. Uchumi wetu siku hizi umebadilika kwahiyo matumizi ya internet commercially ni makubwa vile vile hata ktk individula level

Nadhani watu wataanza kuvuta mkonga wa taifa nyumbani kwao.

Kwa siku natumia hadi 5GB ya internet kwenye PC na 2GB kwenye simu.
 
Back
Top Bottom