Hahahaha eti aizike kabisa. Ila ni bora kuwa na universal modem kwa hali ya mitandao ya nyumbani.[
Hivi mpaka leo mnatumia modem huoni kama unaingia gharama mara mbili yaani kifurushi cha line ya kwenye modem na ya kwenye simu, kwa nini usitumie simu ukawasha WiFi hotspot kisha ukatumia internet hiyo kwenye computer?
Mkuu wewe una miliki smart phone?hivi moderm nzuri ni ipi, wataalam mtueleze tafadhali.
Nenda na laptop yako duka la Airtel waulize kama unaweza kupata network nzuri, ikiwezekana wakupe yao ujaribu. Vile vile network inakuwa chini kutokana na eneo unaloishi kama ni bondeni taabu utaipata au kama upo mbaaaalii sana na mnara. Ok jaribu njia hizo browandugu, nilikuwa mbeya, wiki nzima kila nikinunua kifurushi cha internet (kutumia kwenye computer sio simu), hela yangu inaenda bure, network iko chini mno na hela inaisha tu bure. ninaanza na modem ya voda, inasumbua sana iko chini sana network, nikija halotel ambayo wameniuzia garama kuliko hata hizo nyingine, nayo iko chini sana. ninyi wafanyakazi wa voda na halotel tafadhali, kuweni na huruma, mmetuuzia hizi modem zenu za nii kama network ndio hii:
wakuu kwa wale walioko tigo, zantel na airtel, mtusiadiie, hasa wale wanaoishi mbeya, mtandao ukoje, manake nahisi hizi modem mbili nitazitupa.
Universal modem ndiyo nzuri, ambayo inakubali laini yoyote. Kwa hali ya mitandao ya nyumbani ni vema kuwa na modem aina hiyo. Lakini pia, vema kuwa na inayokubali 3g na 4g. Mfano kuna hizi zinaitwa HSDPA ni nzuri sana na bei nafuu.hivi moderm nzuri ni ipi, wataalam mtueleze tafadhali.
Nunua power bank kuliko kuwa na modem gharama inazidi zaidiMkuu kuigeuza smartphone ku-access internet ktk PC kunaua betri. Battery life cycles zinakwisha kwa kasi ya kimbunga. Labda utumie occassionally.