Huko Mbeya tunatumia Zantel. Sijui kwa kipindi hiki. 2010 Na kurudi chini Zantel ndio ilikua poa, hio mingine hata kutuma mail ilikua issue.wandugu, nilikuwa mbeya, wiki nzima kila nikinunua kifurushi cha internet (kutumia kwenye computer sio simu), hela yangu inaenda bure, network iko chini mno na hela inaisha tu bure. ninaanza na modem ya voda, inasumbua sana iko chini sana network, nikija halotel ambayo wameniuzia garama kuliko hata hizo nyingine, nayo iko chini sana. ninyi wafanyakazi wa voda na halotel tafadhali, kuweni na huruma, mmetuuzia hizi modem zenu za nii kama network ndio hii:
wakuu kwa wale walioko tigo, zantel na airtel, mtusiadiie, hasa wale wanaoishi mbeya, mtandao ukoje, manake nahisi hizi modem mbili nitazitupa.
Nakushauri modem ya voda usiitupe tu izike kabisa maana ukiitupa itaokotwa. Halotel wanatakiwa wrekebishe bei za vifurushi wao ni afadhali kuliko wezi tigowandugu, nilikuwa mbeya, wiki nzima kila nikinunua kifurushi cha internet (kutumia kwenye computer sio simu), hela yangu inaenda bure, network iko chini mno na hela inaisha tu bure. ninaanza na modem ya voda, inasumbua sana iko chini sana network, nikija halotel ambayo wameniuzia garama kuliko hata hizo nyingine, nayo iko chini sana. ninyi wafanyakazi wa voda na halotel tafadhali, kuweni na huruma, mmetuuzia hizi modem zenu za nii kama network ndio hii:
wakuu kwa wale walioko tigo, zantel na airtel, mtusiadiie, hasa wale wanaoishi mbeya, mtandao ukoje, manake nahisi hizi modem mbili nitazitupa.
Vocha zinapatikana vizuri mkuu.zantel nao vocha sasa, huku mkoani kupata vocha ni mtihani ili uingize ununue kifurushi.
Hahahaha eti aizike kabisa. Ila ni bora kuwa na universal modem kwa hali ya mitandao ya nyumbani.Nakushauri modem ya voda usiitupe tu izike kabisa maana ukiitupa itaokotwa. Halotel wanatakiwa wrekebishe bei za vifurushi wao ni afadhali kuliko wezi tigo
Ni kweli bora kununua universal modemHahahaha eti aizike kabisa. Ila ni bora kuwa na universal modem kwa hali ya mitandao ya nyumbani.
Basi utumie tu hiyo nyingine.Wote tu wasumbufu nakumbuka nilinunua line ya airtel nikatumia internet kwa siku tano tu wakanifungia nisipige ile namba 100 hakuna net pia wameizima nimewapigia kwa simu nyingine zaidi ya Mara tano Mara ya mwisho wamenijibu wa naona kila kipo sawa ila hawajui kwanini line yangu haisomi data nikiweka line nyingine ya airtel inafanya kazi fresh kabisa
Wasumbufu tu hawa nimeshawahamaBasi utumie tu hiyo nyingine.
Pole sanawandugu, nilikuwa mbeya, wiki nzima kila nikinunua kifurushi cha internet (kutumia kwenye computer sio simu), hela yangu inaenda bure, network iko chini mno na hela inaisha tu bure. ninaanza na modem ya voda, inasumbua sana iko chini sana network, nikija halotel ambayo wameniuzia garama kuliko hata hizo nyingine, nayo iko chini sana. ninyi wafanyakazi wa voda na halotel tafadhali, kuweni na huruma, mmetuuzia hizi modem zenu za nii kama network ndio hii:
wakuu kwa wale walioko tigo, zantel na airtel, mtusiadiie, hasa wale wanaoishi mbeya, mtandao ukoje, manake nahisi hizi modem mbili nitazitupa.
Ni ile inayofanya kazi inayotakiwa ifanyehivi moderm nzuri ni ipi, wataalam mtueleze tafadhali.