voda leo!

Mkuu,pole sana.....ukisema tanzania ni nje ya Dar mkuu..... natumia tigo napata speed ya 2.5mbps asubuhi hadi usiku, wewe tu mkuu ujapenda kupata hiyo speed, hama uko voda jiunge na mitandao ya ukweli....Airtel,tiGO,TTCL,Zantel hii ndio mitandao ya ukweli... vodacom na SASATEL vimeo
Nakuunga mkono. Voda matangazo mengi, bei ghali na huduma za kubumba!
 
attachment.php

Haya mliokuwa mkibisha tizameni speed nayoipata ni 2.81mbps.
attachment.php

hapa imeshuka hadi 2.50mbps.
attachment.php

Hapa imeshuka tena hadi 2.42mbps, ambako haishuki shini zaidi ya hapa iwe asabuhi au usiku speed inakuwa hivi hivi.
attachment.php

Hii ni IP Adress ya tiGO ....
attachment.php

Hapa nilikuwa napima speed nayoipata wakati na download,
ambayo download speed ni 2358 kbps,
(294.8 KB/sec transfer rate)

Kuna mdau hapo juu amesema kufikisha speed ya 100KBps ushukuru Mungu, wakati mimi speed yangu ya kudownload ni 294.8 KB/sec








View attachment 30432View attachment 30433View attachment 30434View attachment 30435View attachment 30436

Uncle Rukus unajua kwanini nasema hivyo, nimetumia vodacom, airtel na zantel kwenye modem na connection speed yangu inasoma 7.2Mbps lakini ninavyodownload inarange btn 64 - 300 kilobytes per second,,,angalia kwenye picha hapo.. IMG_0028.JPG IMG_0028.JPG
 
haya tupige hesabu pamoja:
kwanza tugeuze kbit ziwe kilobyte nayo ni kugawa kwa nane
250kbps=250/8=31.25KB/s
kisha hiyo 700MB tuifanye naye iwe kilo byti kwa kuizidisha kwa 1000.
itakuwa 700000Kb
na muda utaochukua ni 700000/31.25= 22400 seconds
ambazo ni sawa na dakika 373.3
au ni masaa 6.2

nimekuelewa yussuf, tatizo ilikuwa uandikaji na dhana ya Kbps, KBps, MBps na Mbps...
kbps = kilobits per second(kbit/s)
Mbps = Megabits per second
MBps = MegaBytes per second
KBps = KiloBytes per second....
 
Uncle Rukus unajua kwanini nasema hivyo, nimetumia vodacom, airtel na zantel kwenye modem na connection speed yangu inasoma 7.2Mbps lakini ninavyodownload inarange btn 64 - 300 kilobytes per second,,,angalia kwenye picha hapo
Mkuu, hiyo 7.2mbps iliyoko kwenye modem yako ni njia tu yaani ni kama ukubwa wa barabara so inategemea unapitisha kitu gani kwenye hiyo barabara baskeli au fuso.....

mimi modem yangu inauwezo wa kuchukua hadi speed ya 3.6mbps lakini mitandao yetu speed zao zinaishia kwenye 2.5mbps kama ulivyo ona kwenye picha zangu hapo juu...

hivyo basi ukiwa na modem yenye uwezo mkubwa wa speed usifikiri utapata hiyo speed inayosupport modem yako bali utapata speed ile anayokusambazia ISP wako tu.
 
Swali rahisi nani ameshawahi kudowload movie kwenye torrent au idm ikamwambia spidi anayodownload nayo ni 1.0 mbps?!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom