Voda internet vs torrent

Site za torrent hazihost file, zinachofanya ni kuwa central hub(tracker) ambayo kila mtumiaji torrent anawaambia ana files gani na anatafuta file gani. Hii ndo utetezi wao mkubwa wanaoutumia kuwa wao hawavunji sheria kwa vile sio wao wanaosambaza file, wangekuwa wanasambaza wao kungekuwa hakuna mjadala kabisa.

So ukitaka movieA, torrent client yako inaiuliza tracker nani anayo file hiyo unapata list ya IP address za watu wanaoshare file hilo na unadownload vipande kutoka kwa watu tofauti, at the same time torrent client yako inaipa tracker list ya file au vipande vya file ambavyo wewe unashare ili watu wengine waweze kudownload kutoka kwako.
Hii pia ndo sababu ni rahisi kugundulika nani anashare na kudownload file ipi, kwa kuwa I.P yako lazima iwe hadharani ukiwa unatumia torrents.

YOUR RYT!! ABSOLUTELYY RYT!!!!
tht is where the concept of peer to peer comess

SASA MR kang, waweza nitajia exactly protocol inayotumika kwenye torrent? LEAVE the transport layer protocols that do enable the transportation!! i mean jina exactly la application protocol kwenye torrent
 
YOUR RYT!! ABSOLUTELYY RYT!!!!
tht is where the concept of peer to peer comess

SASA MR kang, waweza nitajia exactly protocol inayotumika kwenye torrent? LEAVE the transport layer protocols that do enable the transportation!! i mean jina exactly la application protocol kwenye torrent

Bittorrent
 
Yah wanazo server kaka pitia terms and condition za website hosting nyingi moja wapo lazma watasema huruhusiwi kuhost torrent katika hosting zao. Jiulize kitu kimoja una upload mfano 12kbps then unadownload 200kbps sasa mbona wa upload vichache na wadownload vingi vyengine vyatoka wapi?

Then ukumbuke kwenye torrent kuna seeders hawa ni kina nani? Mfano seeder wakuta ni ss2.isohunt.com hawa seeder unaweza kuwaongeza manual. So hawa seeder ni server wanahost kwenye web hosting mbali mbali ambazo zinakutupia wewe

Huwezi kuongeza mannual it is the matter of logical calculation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom