vocha for internet tunnel

Paje

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2010
Posts
1,185
Reaction score
486
wadhee mamboz?
mimi ni reseller wa vocha za www.tunnelguru.com kama kuna mtu anahitaji ani pm. ni buku 10 unlimited monthly. muda wa mauzo ni anytime lakini mara nyingi ni kuanzia saa 12 jioni ndio huwa nimeshatulia.... this little tunnel really kick ass
 
Mkuu, ebu tuambie Speed yake iko je? jamaa hawabani kweli?
 
KUDADEKI HAYO NDO MAMBO ILA ULITAKIWA UTU-PM AU UNGEOMBA LISTI YA WAHANGA WA PD KWA munjy1.
Haya tupe kwa PM huo mchakato japo trial 2check speed ilivyo kabla hatujachonga mzinga but usimwage mambo hapa wanga wengi.
 
nikikutumia vocha kwa pm, ui copy halafu ui paste kwenye notepad kwanza halafu ndio uicopy tena na kuipaste kwenye web account yako kwenye website TunnelGuru VPN, HTTP Tunnel, ICMP Tunnel, HTTP Proxy, Web Proxy kwani ukiicopy moja kwa moja inajicopy with extra space, hivyo huwa character hazilingani. vigezo viko pale pale kwa waliojiunga na jf kuanzia january 2012 kushuka chini ndio watapewa maelezo. members wapya hawa qualify na hii trick. sorry for that. lakini inabidi iwe hivyo kwa sababu ambazo zinajuulikana..
angalia screenshot. kuna baadhi ya vitu vimefutwa for security reason lakini unaweza kuona nambari za mwanzo za ip ya marekani florida wakati hii tunnel inapofanya kazi

 

Attachments

  • sampleSHot.PNG
    59.1 KB · Views: 102
Mkuu, ebu tuambie Speed yake iko je? jamaa hawabani kweli?

speed ni rockin speed. sometimes asubuhi asubuhi inadunda hadi 800-900KBPS AU icheki kwenye screenshot
 
speed ni rockin speed. sometimes asubuhi asubuhi inadunda hadi 800-900KBPS AU icheki kwenye screenshot
Nimekupata kiongozi.... ila nimepita kwenye site ya hawa jamaa wanalimit 20GB kwa mwezi...
 
Nimekupata kiongozi.... ila nimepita kwenye site ya hawa jamaa wanalimit 20GB kwa mwezi...

sasa mkuu si unaona kama kuna package tatu hapo. mie nauza package ya unlimited tu....hizo deluxe na basic achana nazo.... not value for money
 
account mbili zisitumike kwenye computer moja wala account moja isitumike kwenye computer mbili tofauti....
 
tayari nimeshamtumia kitambo tu. saa sita kasoro za usiku si kila siku nipo macho kama jana nilivuta shika mapema. sorry kwa hilo. mkuu Shaffin Simbamwene sorry kwa hilo. tayari nimeshakurekebishia
 
nikikutumia vocha nenda kwenye web account yako ya tunnelguru halafu login

na ui apply My Account : Free Anonymous Web Proxy , HTTP Tunnel , VPN Tunnel , ICMP Tunnel , DNS Tunnel , HTTP Proxy Provider : TunnelGuru.
account yako wala usiijaribu kuitumia kwenye computer nyengine wala computer moja isitumike na

account mbili tofauti. na hii vocha kama utaicopy ni bora uipaste kwenye notepade au microsoft word kwanza halafu

ndio uipaste kwenye account yako kwani inakopika na extra space.
na always ifungue tunnel guru from the same location. kama ni desktop , au mydocuments au popote pale lakini pawe

ni pale pale ulipoifungua kwa mara ya mwanzo. pia unaweza kubadili server. angalia katika website yao wana server 4

zinakubali mchakato
 
Bado ujanishawishi mdau,Pd na Cproxy wanatoa 100mb za trial ukinogewa ndiyo kimoja.
nasubiri kina shaffin simbamwene watoe feedback nijue utamu ulivyo wew unapromote biashara lazima utairemba uingize ndege tunduni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…