Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 691
- 1,634
Tanga hiyo.La vida loca
La casa chika
Tanga hiyo.La vida loca
La casa chika
Tulikuwa tunatoroka Galanos kwenda LA Casa Chica. Kuna kipindi tukawa tunaenda disco la Manyani kule Kisosora.Club La casa chika - Tanga
Mkaldayo acha uongo. Wewe umekulia Madadii kule Cheka Ung'atwe ulikuwa unakunywa banana na mbundimbundi.Bilicanas asee yani miaka hiyo ya 70 hadi themanini. Nikikumbuka enzi hizo za ujana wangu. Kununua nyama tu lazima uombe kibali kwa mwenyekiti ana mjumbe.
Yeah Makondeko ,ilikuwepo kule mbezi mwisho kama si Kibamba ilimilikiwa na balozi wa Heshima wa ShelisheliMakondeko unaikumbuka?
La kasachika Tanga, Savoy Mbeya,1. Maryland Bar, ITV, Mwenge.
2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama.
3. Chagga Bite Bar, Makumbusho.
4. Mori Bar, Sinza.
5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani.
6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City
7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya.
8. Meeda Night Club, Sinza Mori.
9. Club Billicanas, Jamhuri Street,City Centre.
Matako bar ya wapi? Hapa TZ zipo zaidi ya tatu nafahamu.Matako bar
Nilidhani wewe ni ajuza kama mimi kumbe wa jana hapa1. Maryland Bar, ITV, Mwenge.
2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama.
3. Chagga Bite Bar, Makumbusho.
4. Mori Bar, Sinza.
5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani.
6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City
7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya.
8. Meeda Night Club, Sinza Mori.
9. Club Billicanas, Jamhuri Street,City Centre.
Kwa pale town pembeni yake kulikuwa na mama ntilie watu walikuwa wanafurika kwa yule mama kuanzia asubuhi.Huu mgahawa kupotea Tanzania imeniuma sana.Nilikuwa Mdau mzuri sana.Ulikuwa MILLENNIUM TOWER na SAMORA pale kona opposite na British council.
STEERS RESTAURANT. View attachment 2943194