Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Unataka awe na sifa gani? Mademu wa Chugs ni wezi, wala mirungi, wavuta bange, wapenda ugomvi na ni wababe. Umejiandaaje mtoto wa mama?
Bora umemwambia, nishapekuliwa wallet uzuri pesa nyingi niliisunda ndani ya bag. Sina hamu na mademu wa Arusha nikifika huwa nawaona kama mabroo tu sishoboki nao, mi mitungi tu nikichoka haraka kulala. Halafu yanatongoza hadi wanaume haki wallah
 
Wangapi humu waliangalia Cinema bubu pale DRIVE IN Cinema msasani ulipo ubalozi wa Marekani hivi sasa wakiwa wamesimama nje na kukodolea Ukuta mkubwa (screen)
Mfano wa drive in cinema ilikuwa kama hivi wanaingia wenye magari na magari yao ,hawashuki wanapewa headphones sasa kina yakhe ambao hawajaingia wao wanaona picha wakiwa nje ila hawasikii sauti .watoto wa biafra,mwananyamara,msasani ilikuwa huwakosi kwenye hizo cinema za bure
drive.jpg
 
Bilicanas asee yani miaka hiyo ya 70 hadi themanini. Nikikumbuka enzi hizo za ujana wangu. Kununua nyama tu lazima uombe kibali kwa mwenyekiti ana mjumbe.
miaka ya 70 hadi 80 hakukuwa na Bilicanas , Bilicanas ilikuja miaka ya 90. Enzi unazosema ilikuwa inaitwa Mbowe club tena ilikuwa upande wa hicho kituo cha mafuta cha Puma sasa hivi. Bilicanas ilikuja baadaye baada ya Freman kuja na vyombo vya kisasa vya mziki na kujenga upya ukumbi ambao ulikuwa upande wa posta club. Ni sehemu mbili zilizokuwa na facilities hizo Bilicanas ya Freman Mbowe na Las Vegas kona ya Aga Khan. Joseph Kusaga wa Clouds yeye alikuwa na mziki ila alitumia sana Pool side Kilimanjaro Hotel,

Msisahau Pink Coconut hapo sir Leander Bridge na Tazara Club Kinondoni
 
Tazara Club hapo leaders clouds walikuwa wanapiga ma buzuki
 
Ndiyo mjue kwamba black people own nothing in tanzagiza na kidogo walichonacho kitapotea/porwa, big bussiness zote za majority wa tanzagiza tulizokuwa nazo wakubwa zimekwishamalizwa, kuanzia maduka makubwa, mabasi , construction companies mpaka hotels na tourism companies zote kwisha and guess who owns everything …
The competent will own regardless of color. The economy doesn't care about color.
 
The competent will own regardless of color. The economy doesn't care about color.

nani kakundanganya? hajuna jamii iliyoendelea ambayo haibagui minority foreigners, kama ipo nitajie hapa, afrika kwetu ndiyo sehemu pekee ambapo wenyeji majority wanabaguliwa na minority foreigners isitoshe kama economy haibagui how come wanakubagua ?
 
Back
Top Bottom