Kwasasa sifahamu mradi wowote wa manispaa za dsm labda upite kuulizia, kuna miradi ilikuwepo siku zimepita sana, jiji la Dodoma kulikua na miradi ambayo ilichukuliwa yote, kwa mwaka huu sijafuatilia. Kibaha na bagamoyo mwaka jana walikua na miradi ya viwanja, sijajua kama bado ipo
Kuhusu real estates companies zipo nyingi tuu za uhakika, kuna kampuni mi ni mteja wao na nimepeleka watu wangu nao wamechukua wanalipa kidogo kidogo.
Kuhusu mfanyakazi kua katika kampuni mbili tofauti nahis huyu analipwa pale akileta mteja, kuna kijana mmoja alipeleka wateja watano katika kampuni akapewa kiwanja bure so nahis hawa wafanyakazi wanakua kama madalali.