Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 9,229
- 8,925
Kiwanja mita 300 kutoka beach unapata kwa 7m. Hati ya wizarani.Kumbe kuna maeneo bei poa
Kiwanja mita 300 kutoka beach unapata kwa 7m. Hati ya wizarani.Kumbe kuna maeneo bei poa
2020 nlienda huko kucheki viwanja bado pori sehemu na sehemu,ila kuzuri sanaSalama wakuu. Moja kwa moja niende kwenye mada.
Mnamo mwaka 2016 serikali iliamua kuuza viwanja Kigamboni eneo la Pembamnazi jijini Dsm. Mpaka Leo hii tarehe 2- 3- 2022 viwanja hivyo havijahudumiwa na serikali kwa kuwekewa miundombinu ikiwemo umeme, maji na kuchongwa barabara ili watu waweze kuvifikia viwanja vyao. Huu ni mwaka wa sita sasa pamebakia kuwa ni porini. Serikali kupitia wizara ya ardhi toeni tamko rasmi kuhusu eneo la Pembamnazi maana watu wakienda wizarani kuuliza kulikoni wanapewa majibu ya ovyo yanayokatisha tamaa.
Pia watu waliuziwa viwanja hivyo bila ya kuviona. Kwa vile muuzaji ni wizara ya ardhi wananchi wakaamini hawatotapeliwa. Kumbe eneo lenyewe ni pori kubwa lisilokuwa na miundombinu yeyote. Tunaomba waziri muhusika aende kutembelea Block 1 na Block 2 ili ajionee mwenyewe utapeli waliofanyiwa wananchi. Pelekeni miundombinu watu wajenge, mji ukue na serikali ipate mapato kupitia kodi.
Nlihesabu kwa gari ilikua 27km kwenda tuKilometa 50 kutoka ferry
Km ni hivyo kigamboni ni kubwa sn asee..buyuni na umbali ule wote lkn ili ufike pembe mnazi unapita buyuni!!?Una pita Kimbiji. Ni mbele ya Buyuni
Kumbe ni mbali sn,nilipokjwa nalisikia Hilo jina nikajua ni hapo Tu karibu na mwembe mdogo
Buyuni vinapatikana viwanja vya 2m?Naona buyuni barabara imechongwa na pia kuna umeme, Nina kiwanja buyuni nauza 3m
siyo kwa sasa mie nlitafuta nkaambiwa 24m wakati najipnga nilipie 14m ya awamu ya kwanza naenda ofisini naambiwa vimeisha nilitumia kampuni inaitwa cholemuKiwanja mita 300 kutoka beach unapata kwa 7m. Hati ya wizarani.
Picha tafadhali!Salama wakuu. Moja kwa moja niende kwenye mada.
Mnamo mwaka 2016 serikali iliamua kuuza viwanja Kigamboni eneo la Pembamnazi jijini Dsm. Mpaka Leo hii tarehe 2- 3- 2022 viwanja hivyo havijahudumiwa na serikali kwa kuwekewa miundombinu ikiwemo umeme, maji na kuchongwa barabara ili watu waweze kuvifikia viwanja vyao. Huu ni mwaka wa sita sasa pamebakia kuwa ni porini. Serikali kupitia wizara ya ardhi toeni tamko rasmi kuhusu eneo la Pembamnazi maana watu wakienda wizarani kuuliza kulikoni wanapewa majibu ya ovyo yanayokatisha tamaa.
Pia watu waliuziwa viwanja hivyo bila ya kuviona. Kwa vile muuzaji ni wizara ya ardhi wananchi wakaamini hawatotapeliwa. Kumbe eneo lenyewe ni pori kubwa lisilokuwa na miundombinu yeyote. Tunaomba waziri muhusika aende kutembelea Block 1 na Block 2 ili ajionee mwenyewe utapeli waliofanyiwa wananchi. Pelekeni miundombinu watu wajenge, mji ukue na serikali ipate mapato kupitia kodi.
Ni maeneo gani mkuu? Naomba mfano uwe kuanzia pale kituo cha pantonNilikuwa huko juzi, kiwanja kidogo cha kutosha kujenga nyumba unapata kwa laki tatu, 300k.
Tena ukitaka unalipa kwa awamu mbili.
Katikati,si ghali Ila si kidogo..kuna mtu alinishauri niende kisemvule akasema buyuni ni mbali sn,Ila Mimi najikuta napendelea zaidi upande wa kigamboni kuliko huko aliponishauriYes, ni ghali au kidogo?
Hapo no traffic jam..safari ya zaidi ya saa moja Dar es salaam si mchezo,ni mbali snSisi tulikodi gari na hiyo kampuni ya kuuza viwanja, tuliondoka feri saa nne na dakika 17, tulifika kwenye viwanja saatano na 32. Amlmost lisaa zima na madakika kumi hivi
0782252121siyo kwa sasa mie nlitafuta nkaambiwa 24m wakati najipnga nilipie 14m ya awamu ya kwanza naenda ofisini naambiwa vimeisha nilitumia kampuni inaitwa cholemu
Wafikirie watoto wako, siyo wewe.Sisi tulikodi gari na hiyo kampuni ya kuuza viwanja, tuliondoka feri saa nne na dakika 17, tulifika kwenye viwanja saatano na 32. Amlmost lisaa zima na madakika kumi hivi
kina ukubwa gani mkuu500+, hii bei hapana, hivi vimepimwa, hapa nataka nifanye mpango wa hati. Hii bei hapana
Nilimaanisha kuwa usijali umbali.Sijakuelewa mkuu, kama umemaanisha umbali mi nimenunua tuu kwaajili ya badae. Nina program ya kununua viwanja vingi, baada ya miaka mitatu patakua bei sana
ukifika bas ntumie dm tufanye biashara20 kwa 28, uhakika mpaka nikifika nyumbani nikiangalia mkataba wa mauziano
hivi ukosawa kweli ww!!Nilikuwa huko juzi, kiwanja kidogo cha kutosha kujenga nyumba unapata kwa laki tatu, 300k.
Tena ukitaka unalipa kwa awamu mbili.
Sisi vyetu havina mgogoro, vimepimwa halafu wameshirikiana na serikali za kijiji, manispaa na kila eneo