Viwanja vya Pembamnazi-Kigamboni vimetelekezwa

Naomba nitumie hapa/au inbox majina ya hizo companies mkuu kama hutajali. Naogopa mno ninaposikia kwamba maeneo mengi kigamboni Yana migogori.
CHOLEMU investment sijawahi kununua kwao ila ni wapo vizuri sana wafatilie, REJAA REAL ESTATES nanunua kwao, pia wapo vizuri sana
 
Nje ya mada kidogo, vp vikindu- vianzi kuko poa? Kuna mtu anataka kunipiga 2m.
 
Yale Yale Puna kuna update yoyote wale walionunua miaka hiyo.

Kuna anayeuza kiwanja Buyuni close to beach?
 
Naomba nitumie hapa/au inbox majina ya hizo companies mkuu kama hutajali. Naogopa mno ninaposikia kwamba maeneo mengi kigamboni Yana migogori.
Digital auction Mart
Honest property inc
5 points real estates
Ardhi plan

Karibuni viwanja vipo kigamboni Kisiwani kwa mkorea vimepimwa na hati unapata
 
Yale Yale Puna kuna update yoyote wale walionunua miaka hiyo.

Kuna anayeuza kiwanja Buyuni close to beach?
Puna nilienda Mwezi wa 12 watu wanajenga kwa fujo.Naamini nikienda leo itakuwa pamebadilika Sana.Changamoto ni ile barabara kutoka cheka kwenda Buyuni.Siku ikiwekwa lami kule ndio Basi Tena.Ndungulile kuzubaa Sana.Kigamboni imedolola kwa sababu ya miundombinu ya Barabara. Walau ni bora ata angepewa Bashite angefanya Jambo.
 
Nina kiwanja kule nilinunua mwaka 2017 shida lami, nataka niende nikaweke nguzo
 
Back
Top Bottom