Viwanja vya kutulia baada ya Kazi ama Wikiendi

Viwanja vya kutulia baada ya Kazi ama Wikiendi

Habarini wadau,

Hebu tupeane maujanja ya viwanja vya kuburudika baada kazi ama wikiendi kama hizi. Nimekaa hapa kila kiwanja nahisi nimeshapita. Wazee wa Jiji la Makonda hebu tupeane maujuzi
Bado sana kwani uko pande zipi?
 
Mabibo mwisho kuna kiwanja kinaitwa Ibingu kinatetema hatari
 
Back
Top Bottom