Viwanja vya kutulia baada ya Kazi ama Wikiendi

Jack HD

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
800
1,000
Habarini wadau,

Hebu tupeane maujanja ya viwanja vya kuburudika baada kazi ama wikiendi kama hizi. Nimekaa hapa kila kiwanja nahisi nimeshapita. Wazee wa Jiji la Makonda hebu tupeane maujuzi
 

Jason Statham2

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
679
1,000
Njoo huku TMK chipolopolo Pub kama huhitaji kelele na unapanga ma strategy ya kufa mtu. Completely cool Warning hakuna vimini wala tiles. Sauti ya Jogoo akiwika jirani ni kawaida... Niko hapa now asikiliza cool & gang kwa mbali na Hennesy
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom