Viwanja/Maeneo mazuri ya kujenga kwa ajili ya kupangisha Miji ya Lindi & Mtwara

Viwanja/Maeneo mazuri ya kujenga kwa ajili ya kupangisha Miji ya Lindi & Mtwara

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,873
Reaction score
4,580
Wakuu, maeneo gani kwa mji wa Lindi au mji wa Mtwara naweza kupata viwanja vya kujenga nyumba za kupangisha.
Viwanja ambavyo watu wanajenga nyumba za kisasa na za kueleweka
 
Me sio mwenyeji sana wa Lindi Mjini.. ila check maeneo yanaitwa Mitwero
Naona watu wenye uwezo kimtindo wana viwanja kule na wanajenga Mansions kali
 
Back
Top Bottom