Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,186
- 4,388
Daah poleni aisee kwani kwa sasa take home ni ngapi? Baada ya ile nyongeza ya mwaka jana?Kwakweli walimu tunalipwa punje sana.
Sasa 716,000 wakipitisha mapanga inabakia pungufu ya 600!
Hapa ni kupambana na vibiashara tu,
Kazi iendelee.
Ata ulipwe mil 10 kwa mwezi Kam huna malengo ni bureMwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Hivi NHIF kuna Wafamasia?Hua mnajiskiaje kuongea vitu vya kufikirika. Mshahara wa mfamasia TAMISEMI ma Wizarani ni 1,215,000/=.
Kwenye mashirika unatofautiana kulingana na position na shirika lenyewe (MSD, NHIF, TMDA etc).
Sahihi kabisa mkuuMaoni yangu baada ya kupitia uzi mzima;
Tumia ajira kama fursa au daraja la kupata mtaji wa kuanzisha chanzo chako binafsi cha kipato!
Huku Arusha wanalipwa ml 2 unasema Nini??Mfamasia laki 9[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaota wew
Akaajiliwa?Hello wakuu...
naomba shuhuda ambae ashawahi volunteer hospitali ya serikali af akawa reccomended na akaajiliwa[emoji120][emoji120][emoji120]
Hivi NHIF kuna Wafamasia?
yeahAkaajiliwa?
L na Ryeah
[emoji23] ndo nin mkuuL na R
recommended?...hakuna kitu kama hicho tena.Hello wakuu...
naomba shuhuda ambae ashawahi volunteer hospitali ya serikali af akawa reccomended na akaajiliwa[emoji120][emoji120][emoji120]
ya kwamba ilifutwa[emoji17][emoji17][emoji86]??recommended?...hakuna kitu kama hicho tena.
Inategemea Mhasibu 830,000/=Ata ulipwe mil 10 kwa mwezi Kam huna malengo ni bure
- Muhasibu wa aina gani?.Inategemea Mhasibu 830,000/=
First degree without a CPA(T).- Muhasibu wa aina gani?.
Sawa mkuu, wanabana sana kiguduria cha Asali huko[emoji3][emoji3]Sikuiona hii.
Yes wapo mkuu. Ingawa imekua muda mrefu tangu NHIF wameajiri pharmacists.
Labda awe kapanda madaraja,ila hawa wanaoingia leo wanaanza na 760k kabla ya makato.First degree without a CPA(T).