Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

Aisee...so inspiring boss! A very useful lesson...I will definitely take this into regard whenever am gotta be Interviewed!!! Thanks.
 
Mimi huwa sisahau 2010 nikiwa ndio kwanza nina a month tangu nimalize degree yangu ya kwanza. Nimeenda kwenye interview nilipoulizwa salary bila hofu nikawajibu take home should be 1.8, kwenye ile panel kulikuwa na wazungu wawili na Wakenya wawili, watatu walikuwa Wabongo. Nikaambiwa mbona wenzangu wote wameweka scales za chini, of which the highest was 800k. My reply was simple, " I suppose that is the value of their knowledge and skills". Yule mzungu akauliza kama mimi ni Mbongo, nikamwambia mie ni Mtanzania. He stood up to shake my hand. Tuliajiriwa watatu na kila mmoja alilipwa alichoatamka kwenye interview. Sasa wale wenzangu walipotaka kulalamika wakaambiwa but this is what you bade in the interview. Confidence inakuongezea thamani yako
Hapa nisha copy hiyo....
iko vzur mkuu
 
mkuu hebu fafanua kuhusu takehome
 
Hii nimeipenda
 
DAH,HUU UZI JO NI SWALI KWA MTOA MADA ILA MICHANGO YA WACHANGIAJI INASIIMUA
 
Mimi huwa sisahau 2010 nikiwa ndio kwanza nina a month tangu nimalize degree yangu ya kwanza. Nimeenda kwenye interview nilipoulizwa salary bila hofu nikawajibu take home should be 1.8, kwenye ile panel kulikuwa na wazungu wawili na Wakenya wawili, watatu walikuwa Wabongo. Nikaambiwa mbona wenzangu wote wameweka scales za chini, of which the highest was 800k. My reply was simple, " I suppose that is the value of their knowledge and skills". Yule mzungu akauliza kama mimi ni Mbongo, nikamwambia mie ni Mtanzania. He stood up to shake my hand. Tuliajiriwa watatu na kila mmoja alilipwa alichoatamka kwenye interview. Sasa wale wenzangu walipotaka kulalamika wakaambiwa but this is what you bade in the interview. Confidence inakuongezea thamani yako
Mkuu ni kazi gani hio ya 1.8m take home maana gross ni 3.3m nakuendelea, ambayo graduate mwenye miezi miwili anawwza lipwa kiasi hicho kwa mwaka huo ulioutaja, ukiwwka na kada itakua vizuri
 
Aisee...so inspiring boss! A very useful lesson...I will definitely take this into regard whenever am gotta be Interviewed!!! Thanks.
Hiyo interview ya kampuni ya kwanza nilikuwa wa mwisho kufanya interview.
Mzungu. Akaniuliza "How do you feel to be the last for this interview"?
Nilichomjibu: "I feel proud because my all documents will be on top of other documents so that the first consideration will be"
Mzungu akaja akashake hand then wakaendelea na mengine.

Sent from my SM-G900T using JamiiForums mobile app
 
It's good to share experiences hasa sisi ambao hatuna mtu wa kutubeba kwenye hizi fursa. Huwezi jua wapi tunaweza kutana
Kabisa mkuu,
Maisha haya hayana mwenyewe, tunapo pata ideas kama hivi at least tuna create self awareness,
en then tuna tafuta solution ya tatzo....
ni vizur mkuuu....
 
Mkuu ni kazi gani hio ya 1.8m take home maana gross ni 3.3m nakuendelea, ambayo graduate mwenye miezi miwili anawwza lipwa kiasi hicho kwa mwaka huo ulioutaja, ukiwwka na kada itakua vizuri
Mkuu kuna mambo mengine ni kuyaacha jinsi yalivyo. I had my classmate tunafanya final UE mwaka huo alikuwa ameshalamba ajira ambayo take home was 2.4. Sioni kitu cha ajabu katika hilo. Mimi nilianza mihangaiko na kutafuta exposure tangu niko first year, mpaka namaliza chuo nilishazunguka nchi za kutosha katika huo uchakarikaji so usishangae kabisa mzee.
 
Mkuu ni kazi gani hio ya 1.8m take home maana gross ni 3.3m nakuendelea, ambayo graduate mwenye miezi miwili anawwza lipwa kiasi hicho kwa mwaka huo ulioutaja, ukiwwka na kada itakua vizuri
Pia mimi si muumini wa hizi itikadi maana zimekuwa zinafunga akili za wahusika in such a way they don't see beyond they itikadi. Sina ukada wowote maana nilitoka kijijini kuja chuo kusaka maarifa na fursa.
 
Hiyo interview ya kampuni ya kwanza nilikuwa wa mwisho kufanya interview.
Mzungu. Akaniuliza "How do you feel to be the last for this interview"?
Nilichomjibu: "I feel proud because my all documents will be on top of other documents so that the first consideration will be"
Mzungu akaja akashake hand then wakaendelea na mengine.

Sent from my SM-G900T using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi nimeshafanyiwa interviews na wabongo na nyingine nimefanyiwa na hawa wenye ngozi za pink. Kuna tofauti kubwa sana mzee. Very big difference. Yaani unaona kwamba wakati mbongo anataka utoe yale uliyokariri darasani, wenzetu wanataka uoneshe skills zako in handling matters. I think there's a need to train hawa interviewers wetu. There are things that they miss
 
Pia mimi si muumini wa hizi itikadi maana zimekuwa zinafunga akili za wahusika in such a way they don't see beyond they itikadi. Sina ukada wowote maana nilitoka kijijini kuja chuo kusaka maarifa na fursa.
Naona ulishindwa kunielewa niliposema kada nilimaanisha field ipi na pia wewe unatakiwa useme tu kwamba ni field fulani na ni kazi gani hio uliioomba mimi nahitaji kufahamu maana kwa experience ya Tanzania mtu anaeanza na kiasi hicho hua yupo kwenye mid level career..
 
Noted mkuu. Niliisoma kwa haraka sentence yako. But just take it from me. Kuna taasisi kubwa tu huwa zinapita vyuoni kwaajili ya career recruitment for young graduates. Zipo za ndani na za nje pia. At times I count myself very lucky maana it was a thing that I did just to try and it real worked out.
 
well noted mkuu,thaxs.
Taja dollars jamaa yangu watu wanakula pesa ya chini usd 3500 hapa hapa bongo kazi ambazo wanafanya wageni hata sisi wabongo tunazifanya tena kwa ufanisi zaidi..mie huwa naanza na juu sana kwa sababu najua ranges za kazi yangu huwa zinalipwaje so naenda double price wakishusha kwenye negotiations unakuta unapata kile stahiki lakini ukisema uanze na chini mazee wanakata half ukiwa na njaa zako ndio unaingia kichwa unafanya kazi kwa manung'uniko pesa ndogo haitoshi.
 
Back
Top Bottom