Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

Noted mkuu. Niliisoma kwa haraka sentence yako. But just take it from me. Kuna taasisi kubwa tu huwa zinapita vyuoni kwaajili ya career recruitment for young graduates. Zipo za ndani na za nje pia. At times I count myself very lucky maana it was a thing that I did just to try and it real worked out.
....swali ni dogo na rahisi sana;ila unajibu maelezo mengi na irrelevant!
 
Soma mazingira, ukiona kuna wazungu kwenye panel ya interviewers taja kiwango juu, ukiona ni weusi ila accent zao sio za kibongo taja mshahara wa juu, na pia kama kampuni ni ya nje hasa overseas taja mshahara wa juu ila ukiona ni wabongo, taja wa kati au wa kawaida tu!
Du you made my day Mkuu!
 
PriceWaterHouseCoopers? Delloite? Au ni hivi vibenk sijui Standard Chartered? Ingawa sikujui lakini nina wasi wasi na hiyo salary scale yako
Noted mkuu. Niliisoma kwa haraka sentence yako. But just take it from me. Kuna taasisi kubwa tu huwa zinapita vyuoni kwaajili ya career recruitment for young graduates. Zipo za ndani na za nje pia. At times I count myself very lucky maana it was a thing that I did just to try and it real worked out.
 
eeeeeeh haya tunakuja
Mkuu interview ya kwanza ukiwa umetoka shule na maisha yamebana unaona liwalo na liwe unashangaa unataja ndogo badae unaanza kujilaumu.
Mimi nilipata kampuni moja hivi katika bargaining wakaniuliza takehome nikawaambia 1m huku nikiona nimetaja pesa kubwa wakakubali nilifurahi kinoma kuja kugundua badae wazoefu nilioingia nao wanachukua takehome 2m. Iliniuma sana na nikajifunza hapo.
Baada ya miezi 10 ikaja kampuni nyingine ilikuwa na shida kinoma na wafanya kazi maana iliingia mkataba na serikali huku haikuwa na wafanyakazi walivyoniuliza kuhusu takehome nikataja 2.5m na wakanipa.
Hizi kazi acha tu.
 
Back
Top Bottom