Tawa hawatumii TGS
Pesa nzuri tu. Usiende kuiba meno ya tembo.
TAWAS 4.1 ni shingap
Noma sana, sikupingiUkipata ajira TAWA, NCA, TPA TPDC, TRA aaahhh ushaula.
Ndugu ushaula.
TAWAS 4.1 ni shingap
Inawezekana, Sio mbaya lknKuna mtu alinambia ni 2M sas sijajua kama kweli
Mkuu acha kutupanga TAWA hawawezi kutumia hizo Salary scaleHaya hapa....