Mr nobby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2023
- 637
- 1,268
Je ATCL au TANESCO?Ukipata ajira TAWA, NCA, TPA TPDC, TRA aaahhh ushaula.
Ndugu ushaula.
Je ATCL au TANESCO?Ukipata ajira TAWA, NCA, TPA TPDC, TRA aaahhh ushaula.
Ndugu ushaula.
Akutajie na posho kwa level yakeNina mtu TAWA...sema ngazi ipi...be specific ngazi tofauti tofauti ndio nini...
TAWAS 4.1 bossNina mtu TAWA...sema ngazi ipi...be specific ngazi tofauti tofauti ndio nini...
Saveya huyu ndo yuko jikoni
Basic 2.5MTAWAS 4.1 boss
Tawa hakuna kitu SEMA TANAPA SCALE YAO ya mishahara ni tishio Tanzania kwa anayeanza 1.5 MILION halafu form iv kwa TANAPA tawa hakuna pesa Bora uingie police uhonge ukawe trafick bara bara ya chalinze to DSMUkipata ajira TAWA, NCA, TPA TPDC, TRA aaahhh ushaula.
Ndugu ushaula.
Sio kweli tower, MALIASILI hakuna kitu nakwambiaBarikiwa sana,
Kwahyo tupambane ya Hela Yote 🤪
Sio kweli tower, MALIASILI hakuna kitu nakwambia
Mambo yapo TANAPA NA RANGER WA HIFADHI YA SERENGETI
Tawa hakuna kitu SEMA TANAPA SCALE YAO ya mishahara ni tishio Tanzania kwa anayeanza 1.5 MILION halafu form iv kwa TANAPA tawa hakuna pesa Bora uingie police uhonge ukawe trafick bara bara ya chalinze to DSM
Hela yote na ziada mkuu...Barikiwa sana,
Kwahyo tupambane ya Hela Yote 🤪
Mambo yapo TANAPA NA RANGER WA HIFADHI YA SERENGETI
TAA hamna kitu . Sema tu watu wakisikia neno ndege wanachanganyikwa.Vipi TAA hawaingii hapo? Au pa kawaida tu
Kabisaa TAA ni njaa..TCAA Kule hakuna kelele wanakula vinonoTAA hamna kitu . Sema tu watu wakisikia neno ndege wanachanganyikwa.
TCAA ndio wanaishi kama mbele
Kwa wasiofahamu virefu vya TAA na TCAAKabisaa TAA ni njaa..TCAA Kule hakuna kelele wanakula vinono
TAA njaa sana.Kabisaa TAA ni njaa..TCAA Kule hakuna kelele wanakula vinono