Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,754
- 3,427
Aisee!!! Inamaana hata tuposho twa hapa na pale hao wafanyakazi hawana? Huko kweli kuna njaaTAA njaa sana.
Watumishi wamekaa kusubiri alikiba apite waombe buku Tano Tano
Aisee!!! Inamaana hata tuposho twa hapa na pale hao wafanyakazi hawana? Huko kweli kuna njaaTAA njaa sana.
Watumishi wamekaa kusubiri alikiba apite waombe buku Tano Tano
Mhh, mkuu wewe ulifanya kazi TANAPA ipi unayosema hakuna maajabu,,,,Tanapa hakuna maajabu. Nimefanya kazi huko as a ranger 2013-2015 hifadhi ya Serengeti. Ranger wa tanapa mshahara mdogo tu. Tulikuwa tunatamani tungefanya kazi NCA.
Posho pia ilikuwa kawaida tu.
Reforms zikaongeza posho lakini mfumo mpya kuanzia mwaka juzi sijui mwaka jana wanasema unawaathiri issue za posho.
Nina jamaa zangu niliwàacha huko wako bado mpaka kesho.
Kwasasa sijui mengi ya huko nisije kudanganya
Mdau kiwango cha chini cha Mshahara wa Serikali kwa sasa ni Tsh 500kHaya hapa....
Ha ..ha...au tajiri yoyote apite aache pesa,ila HQ wanaenjoy sana safari nyingi sana.upande wa JNIA ndio njaa..mtu ana miaka 15 hajawahi kusafiri ata kutoka nje ya mkoa..safari ni za kujuana sana .TAA njaa sana.
Watumishi wamekaa kusubiri alikiba apite waombe buku Tano Tano
Posho zipo ...sema sio package kama TCRA au TCAA...Hakuna extra duty itapiga kazi kama kichaa appreciation zero..ila ikipangwa HQ Kule utaenjoy ..wao ndio wanakulaa maisha,uwezi ona mtu wa HQ akipanda staff...wote Ndinga kali...Aisee!!! Inamaana hata tuposho twa hapa na pale hakuna?
Posho za mbinde sana .Aisee!!! Inamaana hata tuposho twa hapa na pale hao wafanyakazi hawana? Huko kweli kuna njaa
Kwani TANAPA zipo ngapi?Mhh, mkuu wewe ulifanya kazi TANAPA ipi unayosema hakuna maajabu,,,,
Julius Nyerere I A akipita mtoto wa Bakhressa aiseee hiyo vita yake sio ya kitoto 🤣🤣🤣Ha ..ha...au tajiri yoyote apite aache pesa,ila HQ wanaenjoy sana safari nyingi sana.upande wa JNIA ndio njaa..mtu ana miaka 15 hajawahi kusafiri ata kutoka nje ya mkoa..safari ni za kujuana sana .
Sawa mkuu nashukuru, ila nakushauri tafuta taarifa zaidi.Kwani TANAPA zipo ngapi?
Ukitoka LOCAL GOVERNMENT AUTHORITY TANAPA utaona peponi ila ukiiweka TANAPA na ma Giants kama NEC, TRA, TCAA, na wengine utaona kuwa TANAPA hamna kitu
Vp psssf mkuu kwa level ya degree salary scaleUkipata ajira TAWA, NCA, TPA TPDC, TRA aaahhh ushaula.
Ndugu ushaula.
Vp psssf mkuu kwa level ya degree salary scale
Wanalipana ngapi bossHawana maajabu kama police tu
Hatari Bora ufungue kijiwe cha chips🤣🤣🤣🤣Haya hapa....
Hatari Bora ufungue kijiwe cha chips🤣🤣🤣🤣
Hahaha CHATGPT ukiwa unatumia kifurushi Cha kulipia 49000 ndio kitakupa majibu mazuri hizo taarifa ni za 2009Haya hapa....
Basic 2.5M
Haya mengine nisitaje nisije kuonekana mzushi Bure 😀😀 ila allowances, benefits zipo vizuri sana..kule bwana mrija kwa kuku...😀😀😀