Tunaogopa kutoa Siri za SerikaliJF mmekua wachoyo wa Taarifa.
Ina maana hakuna anae jua Salary Scale za TAWA ?
Tunaogopa kutoa Siri za Serikali
Mshahara ni Siri mkuu hata barua ukipata ya kuongezewa mshara ina mark ya Confidential/Siri pia tuna viapo vya kutunza Siri!Kwamba, Mishahra nayo ni swala na National Security