Viwanda ili vikue kwa kasi na kudumu havihitaji huruma za kibinadamu

Ulaya kuna viwanda vingi sana
Siemens
ASML
Magari: Volkswagen AG, Stellantis NV, Mercedes-Benz Group AG, Bayerische Motoren Werke AG, and Renault SA, Volvo, Land Rover
Dawa: Novartis, Roche, Sanofi, AstraZeneca, GSK, Bayer, BASF, INEOS
Anadhani Ulaya hakuna viwanda
 
Je Russia ndio China niliyoitaja?

Na je California ipo Ulaya ?
Huna point, Nchi zote za Ulaya kwa pamoja ni karibia sawa na China kwa ukubwa na zinazidiwa na China kwa rasilimali
 
Jibu maswali. Acha kuhamisha mada kwa logical fallacy
 
Viwanda vichache vilivyopo nchini bado wananchi wanakandamizwa kwenye malipo.
Yaani kazi Tembo posho Sungura.
 
Mheshimiwa Rais unakura yangu 2030...

Usinisahahu kwenye baraza lako la mawaziri tujenge nchi na kuila kidogo.
 
Hapa hana point, hakuna mzungu wa Ulaya anayetaka kufanya kazi tena kwenye mazingira ya viwanda kama vya China.
Ni kweli ulaya kuna utaratibu mzuri saana/au tuite sheria za kuwalinda wafanyakazi kuliko mahali popote duniani. Nilifanya kazi na waamerika walishangaa jinsi wafanyakazi wana haki ulaya tofauti na kwao. Wakatolea mfano paid leaves ni kizungumkuti kwao.....kuskia phrases like I will fire you ni kawaida saana tofauti na Ulaya...

Nirudi kwenye hoja ya uzi..... Ulaya kuna viwanda vingi ila toka kukua kwa uzalishaji wa China na America kuna msamiati umekuwa ukitumika ulaya "FACTORIES EXODUS" vingi vimekuwa vikifunga au kupunguza uzalishaji kutokana na ongezeko wa bidhaa kutoka nchi hasa za Asia.

Mfano mdogo TOYOTA anauza vizuri zaidi ya BMW....bidhaa ngapi hatujaongelea.
 
Ulaya yenyewe kuna viwanda vimejaa vinatengeneza bidhaa na wana export
Kaka ulaya wanafanya wanafanya innovation tu kwasasa lakini viwanda vyao vingi vipo china, taiwan, india, tiland, vietnam wao wamebaki kubuni bidhaa tu arafu inaenda kuzalishwa kwenye mataifa mengine ambako ndiko wametega viwanda vyao mfano bidhaa kama Iphone ni ya wamalekani lakin kiwanda chake kipo china na korea levis jeans moja kati ya viwanda vyao kipo pale ubongo Dar es saalam saizii ulaya kwa asilimia kubwa wao wamebaki kubuni bidhaa tu lkn viwanda wanainstal kwenye nchi nyinginezo
 
Hapa hana point, hakuna mzungu wa Ulaya anayetaka kufanya kazi tena kwenye mazingira ya viwanda kama vya China.
Ndo maana hawana tena uchumi wa viwanda nchi kama Uingereza hawana hata smelter tano za chuma ni aibu

Ukishaona jamii watu wanapenda kuishi kwenye comfort zone basi uaribifu uko mlangoni
 
Ni kweli ulaya kuna utaratibu mzuri saana/au tuite sheria za kuwalinda wafanyakazi kuliko mahali popote duniani. Nilifanya kazi na waamerika walishangaa jinsi wafanyakazi wana haki ulaya tofauti na kwao. Wakatolea mfano paid leaves ni kizungumkuti kwao.....kuskia phrases like I will fire you ni kawaida saana tofauti na Ulaya...

Nirudi kwenye hoja ya uzi..... Ulaya kuna viwanda vingi ila toka kukua kwa uzalishaji wa China na America kuna msamiati umekuwa ukitumika ulaya "FACTORIES EXODUS" vingi vimekuwa vikifunga au kupunguza uzalishaji kutokana na ongezeko wa bidhaa kutoka nchi hasa za Asia.

Mfano mdogo TOYOTA anauza vizuri zaidi ya BMW....bidhaa ngapi hatujaongelea.
Umeongea sahii viwanda haviitaji viwekewe vizingiti vingi vinaondoka- watu wengi hawawezi elewa ila wachache kama wewe ndo wataelewa

Ni kweli viwanda vingi Tanzania wanalipwa kidogo ila wale wenye ujuzi wa ziada wananganganiwa kama lulu na wanalipwa maslai mazuri kwa sababu ni faida kwa kiwanda hata wakitaka kuacha kazi wananganganiwa kama lulu

Lazima tuwe na uchumi ambao thamani ya mtu lazima iendane na ujuzi wa kipekee alio-nao hii itaongeza ubunifu na sio watu kutaka kukaa kwenye comfort zone
 
Viwanda vichache vilivyopo nchini bado wananchi wanakandamizwa kwenye malipo.
Yaani kazi Tembo posho Sungura.
Ni kweli viwanda vingi Tanzania wanalipwa kidogo ila wale wenye ujuzi wa ziada wananganganiwa kama lulu na wanalipwa maslai mazuri kwa sababu ni faida kwa kiwanda hata wakitaka kuacha kazi wananganganiwa kama lulu
 
Ndo maana hawana tena uchumi wa viwanda nchi kama Uingereza hawana hata smelter tano za chuma ni aibu

Ukishaona jamii watu wanapenda kuishi kwenye comfort zone basi uaribifu uko mlangoni
Uchumi wa Uingereza ni wa nini?? Kwa nini wahamiaji hadi Wachina wanakimbilia kujazana Uingereza ?
 
Umeongea sahii viwanda haviitaji viwekewe vizingiti vingi vinaondoka- watu wengi hawawezi elewa ila wachache kama wewe ndo wataelewa

Ni kweli viwanda vingi Tanzania wanalipwa kidogo ila wale wenye ujuzi wa ziada wananganganiwa kama lulu hata wakitaka kuacha kazi wananganganiwa kama lulu

Lazima tuwe na uchumi ambao thamani ya mtu lazima iendane na ujuzi wa kipekee alio-nao hii itaongeza ubunifu na sio watu kutaka kukaa kwenye comfort zone
Binafsi ninaamini uzalishaji ndio utakaotutoa hapa tulipo.

Hizi zingine ni blah blah za wanasiasa kujitafutia ulaji. Unfortunately, sioni kiongozi yeyote mwenye haya maono...
 
Ni kweli ulaya kuna utaratibu mzuri saana/au tuite sheria za kuwalinda wafanyakazi kuliko mahali popote duniani. Nilifanya kazi na waamerika walishangaa jinsi wafanyakazi wana haki ulaya tofauti na kwao. Wakatolea mfano paid leaves ni kizungumkuti kwao.....kuskia phrases like I will fire you ni kawaida saana tofauti na Ulaya...

Nirudi kwenye hoja ya uzi..... Ulaya kuna viwanda vingi ila toka kukua kwa uzalishaji wa China na America kuna msamiati umekuwa ukitumika ulaya "FACTORIES EXODUS" vingi vimekuwa vikifunga au kupunguza uzalishaji kutokana na ongezeko wa bidhaa kutoka nchi hasa za Asia.

Mfano mdogo TOYOTA anauza vizuri zaidi ya BMW....bidhaa ngapi hatujaongelea.
Ulaya walishavuka stage ya kuwa na viwanda vichafu na vya kutumia nguvu za binadamu zaidi.
Ulaya haihitaji sweatshops tena kama za China au ambazo mnataka Africa, wanaweza kufanya mambo mengine yanaoyendana na hali yao ya juu ya kimaisha huku wakiwa na viwanda muhimu tu kama hivyo vya ulinzi, usafiri, madawa, electronics n.k halafu wakaendelea kujiimarisha kama Financial centre ya dunia, innovations na entertainment.
 
Binafsi ninaamini uzalishaji ndio utakaotutoa hapa tulipo.

Hizi zingine ni blah blah za wanasiasa kujitafutia ulaji. Unfortunately, sioni kiongozi yeyote mwenye haya maono...
Multiplier effects ya viwanda huwaga ni kubwa sana changamoto viongozi hawaoni

Magufuli aliimba uchumi wa viwanda wewe kwenye kampeni 2015 kuja kwenye utekelezaji ghafla tukaambiwa cherehani ni kiwanda nilikuwa surprise sana

Moja ya sababu ya mimi kuuonyesha nia ya kuwa Rais wa Tanzania ni kuwa-dissapoint sana na viongozi waliopo majority ni hopeless
 
Ulawa walishavuka stage ya kuwa na viwanda vichafu na vya kutumia nguvu za binadamu zaidi.
Ulaya haihitaji sweatshops tena kama za China au ambazo mnataka Africa, wanaweza kufanya mambo mengine yanaoyendana na hali yao ya juu ya kimaisha hukuwa wakiwa na viwanda muhimu tu kama hivyo vya ulinzi, usafiri, madawa, electronics n.k halafu wakaendelea kujiimarisha kama Financial centre ya dunia na innovations.
Sasa mbona ulaya bidhaa nyingi wame-outsource china
Na kwa sababu hiyo ujeruman akikaa vibaya anapitwa na california sababu anamuwashia indicator hapo nyuma kumbuka ujerumani ndo nchi yenye uchumi mkubwa ulaya

Ulaya uzalishaji wa viwandani umeshuka sana
 
Back
Top Bottom