Viwanda ili vikue kwa kasi na kudumu havihitaji huruma za kibinadamu

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Ulaya walikuwa na viwanda vingi kumbuka industrialisation ilianzia Europe vilikufa baada ya kuingiza huruma za kibinadamu
  1. Kuhisi wenye-viwanda wanafaidi sana na kuanza kuwapandisha kodi maradufu na kuongeza kodi nyingi
  2. Kuweka minimum wages
  3. Kupandisha gharama za umeme na gesi asilia kwa kudhani viwanda wanafaidi sana

Leo hii Europe hawana viwanda bali wamebaki na sheria zao nzuri sana

Viwanda vinahitaji maamuzi ambayo hutakiwi kutumia huruma za kibinadamu mfano
  1. Kodi zinatakiwa kuwa ndogo sana
  2. Hakutakiwi kuwe na minimum wages, kwenye viwanda kipaji cha mfanyakazi ndo kitakachomsaidia mshahara kuongezeka na sio kulazimisha alipwe kiwango flani
  3. Hutakiwi kuwa na regulations kali sana za kulinda mazingira
  4. Kesi zina-husu viwanda na serikali zinatakiwa ziamuliwe nchi yeyote ile atakayoamua mwenye viwanda sio lazima ndani ya nchi

Wote tunafahamu changamoto kubwa sana inayoikabili nchi yetu ni kuwa na uzalishaji mdogo sana wa ndani yaani bidhaa nyingi sana zinatoka nje ya nchi na pia uwepo wa regulations nyingi sana ambao ni usumbufu na kero kwa wawekezaji wengi wa viwanda

Zifuatazo ni kodi na tozo viwanda vitakavyolipa vikifunguliwa hapa Tanzania
A)- Mwekezaji atalipa baada ya kupita miaka miwili alipoanza uzalishaji
  1. Corporate tax 6%
  2. Vat 4%
  3. Imported raw materials 5%
Gharama zifuatazo atakua analipa anapoanza uzalishaji
  1. Unit moja ya umeme sh 10
  2. Domestic Employees income tax 5%
  3. Foreign Employees income tax 8%
  4. Manufactured product sold to international market 3%
  5. Manufactured product sold to domestic 2%
Ukishakua na viwanda vingi alafu ghafla ukaanza kuweka huruma za kibinadamu na kuhisi wenye viwanda wanafaidi sana basi fahamu mda sio mrefu viwanda vitakufa ndo kilichowatokea marekani, Europe na nchi za magharibi

Ulaya kuna viwanda vingi sana
Siemens
ASML
Magari: Volkswagen AG, Stellantis NV, Mercedes-Benz Group AG, Bayerische Motoren Werke AG, and Renault SA, Volvo, Land Rover
Dawa: Novartis, Roche, Sanofi, AstraZeneca, GSK, Bayer, BASF, INEOS
Silaha; Rheinmetall, Thales, BAE Systems
Ndege; Airbus, Dassault Aviation, Leonardo S.p.A, Rolls-Royce
 
Ulaya viwanda vimejaa tele
 
[*]Hutakiwi kuwa na regulations kali sana za kulinda mazingira
Uzi sio mbaya ila hapo kwenye kulinda mazingira umezingua sana Ndugu Rais. Sheria zisipokuwa kali si ndo watatiririsha sumu kwenye mifereji na mito? Sheria za kulinda mazingira zinatakiwa ziwe kali zaidi.
 
Nani amekuambia kilimo hakina msaada kwenye nchi??
Kilimo cha Tanzania ni subsistence farming kwa asilimia kubwa sasa kinawezaje kuwa na msaada kwa nchi hatuna kilimo kikubwa cha ma-estate na cha umwagiliaji
 
Ulaya kuna viwanda vingi sana
Siemens
ASML
Magari: Volkswagen AG, Stellantis NV, Mercedes-Benz Group AG, Bayerische Motoren Werke AG, and Renault SA, Volvo, Land Rover
Dawa: Novartis, Roche, Sanofi, AstraZeneca, GSK, Bayer, BASF, INEOS

Viwanda vya nchi zote za ulaya ukivijumlisha. Havifikii hata nusu ya idadi ya viwanda vya nchi moja tu ya china
 
Bora visiwepo. Viwanda vya hivyo vitafaidisha wachache huku wengi wakiishi duni kuliko watumwa. Maghorofa yatajengwa na serikali itakuwa na Hela ila majority ya wananchi wakiishi hivyo kwenye mazingira yaliyochafuliwa.
 
Uzi sio mbaya ila hapo kwenye kulinda mazingira umezingua sana Ndugu Rais. Sheria zisipokuwa kali si ndo watatiririsha sumu kwenye mifereji na mito? Sheria za kulinda mazingira zinatakiwa ziwe kali zaidi.
Viwanda vitakuwa na zoning zake tofauti na sasa hivi
Mfano magufuli kama angesikiliza watu wa màzingira unadhani bwawa la nyerere lingejengwa na sisi tuna madini ya makaa ya mawe lakini tumepigwa marufuku na watu wa mazingira yanachafua mazingira lakin kama nchi hatuna umeme ila tuna-makaa ya mawe
 
Bora visiwepo. Viwanda vya hivyo vitafaidisha wachache huku wengi wakiishi duni kuliko watumwa. Maghorofa yatajengwa na serikali itakuwa na Hela ila majority ya wananchi wakiishi hivyo kwenye mazingira yaliyochafuliwa.
Nchi ipo katika umaskini haiwezi kujitegemea alafu unasema viwanda visiwepo
 
Umeandika points tupu .

Uzi mzuri Ila katika mazingira hapo sheria zinabidi very strictly
 
Viwanda vya nchi zote za ulaya ukivijumlisha. Havifikii hata nusu ya idadi ya viwanda vya nchi moja tu ya china
Viwanda vya nchi nzima ya Russia havifikii viwanda vya jimbo moja la California.
 
Back
Top Bottom