Vivuli vitatu

Kuna muhubiri anasema kivuli ni pepo mchafu, hahaha nilichoka sikuelewa lakini nilijidai chizi ili niendelee kushiriki ibada.
 
Ile mada uliipost jukwaa la dini au ilihamishiwa kule?
Niliipost mada mchanganyiko, huko kwenye jukwaa la dini ilipelekwa na mods.

Mawazo yoa siku hizi niliisha yaacha yaliyo. Sijui dini gani iko kwenye ule uzi?!
 
Sometimes ni errors zinazobidi kuripotiwa kwa uongozi
Niliipost mada mchanganyiko, huko kwenye jukwaa la dini ilipelekwa na mods.

Mawazo yoa siku hizi niliisha yaacha yaliyo. Sijui dini gani iko kwenye ule uzi?!
 
Maranyingi ishu hizi watu huchanganya sana.... Ni nani anaweza kwa hakika kukuambia hili ni jinni au ni pepo? Kwa vyovyote ni mganga... Sasa hawa jamaa kuna wakati nao hukosea na kuishia kubahatisha tu ama kutoa matibabu yasiyo sahihi
Ishu za kuibiwa vivuli sio kazi ya jini au pepo... Ni kurogwa.. Tena kurogewa maiti
Mshana hivi mtu Akipigwa jini kivuli hutolewa vipi? Hii kitu naskia inatesa sana please
 
Je maiti ikisimamishwa japo kwa kuegemezwa, mahali pa wazi nyakati hizo za jioni au usiku haina uwezekano wowote wa kuwa na vivuli vitatu?.
 
Kama iko kwenye jeneza litaonekana jeneza.. Kama iko peke yake huwezi kuona
Je maiti ikisimamishwa japo kwa kuegemezwa, mahali pa wazi nyakati hizo za jioni au usiku haina uwezekano wowote wa kuwa na vivuli vitatu?.
 
DU MWANGA KATIKA UBORA WAKO KUMBE NI KWELI NILIKUWAGA NAFIKIRI WATU WANAKUSINGIZIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…