Viva viettel (halotel)

Tatizo wakianza wanakuja na offer kibao baadae wanaanza ukuda eti offer kupiga simu saa 5 usiku mpaka 11 sasa usilale upige misimu huo si utapeli??!!!

Tatizo la nchi yetu ni Watanzania wapuuz hasa. Makampuni yanapokuja nchi huja na offer nzuri ikiwa na mishahara kwa scale za WHO. HR na watu wanaohusika na mambo ya Utumishi kwenye makampuni ndiyo hasa huwaliza ujinga kwa makampuni ya kigeni. Waziri wa kazi aliwahi kwenda Mtwara na alilalamika kuwa watu wa HR wanachangia kushusha maslah ya wafanyakazi hasa kule kwenye miradi ya gesi!
 
Vietel ni jeshi la Vietnam, pamoja na matatizo yoote waliyonayo wameweza kuja kuwekeza nje ya mipaka yao. .hongera zao lakini VP KUHUSU TTCL YETU?

Ni kwamba siku TTCl wakiachiwa kwenye kifungo walichowekwa watakuwa mbali na hapo walipo.

TTCL wana miundombinu mikubwa sana kwa ajili ya mawasiliano.

Wajanja wananufaika na TTCL.
 
Hivi inakuaje Waziri analalamika? sasa akilalama sijui nani atatusaidia...
 
Tatizo wakianza wanakuja na offer kibao baadae wanaanza ukuda eti offer kupiga simu saa 5 usiku mpaka 11 sasa usilale upige misimu huo si utapeli??!!!

Ndio strategy waliotumia tigo kupata wateja walionao leo hii.
 
Ni kwamba siku TTCl wakiachiwa kwenye kifungo walichowekwa watakuwa mbali na hapo walipo.

TTCL wana miundombinu mikubwa sana kwa ajili ya mawasiliano.

Wajanja wananufaika na TTCL.

Imefilisiwa na mbele ya macho yetu hivihivi tunashangaashaa Kama nyumba.. Mwandosya knows the whole sht of it
 
Kwa uwekezaji wa viettel waliofanya, tigo na voda watasumbuka nao sana.

Hawa jamaa wamedhamiria.

Selling point yao ni internet, hapo ndo wakina tigo, voda na airtel wanapopoteana.
 
Kwa uwekezaji wa viettel waliofanya, tigo na voda watasumbuka nao sana.

Hawa jamaa wamedhamiria.

Selling point yao ni internet, hapo ndo wakina tigo, voda na airtel wanapopoteana.

Kwenye data ndio watawashindia ila mie nilitaka TTCL ndo wapewe kipaumbele hicho
 
Kwenye data ndio watawashindia ila mie nilitaka TTCL ndo wapewe kipaumbele hicho

Haiwezekani kwasababu Airtel wanamiliki hisa nyingi TTCL.

Sasa utaruhusu vipi competitor wako awe huru?

Ni sawa na KQ kununua hisa nyingi Precision Air.
 
Imefilisiwa na mbele ya macho yetu hivihivi tunashangaashaa Kama nyumba.. Mwandosya knows the whole sht of it

Ndo muichague CCM mshike adabu.

Wataanza kuwapokonya nyumba zenu wawauzie wawekezaji.
 
Smart ndo imeshajifia.

wamekufa vipi? juzi tu nao wamezindua 4g yao.

jamaa hawana wafanyakazi kabisa na minara nafkiri ni ya ttcl sitashangaa siku nikiona financial result zao wakiwa wanapiga profit kubwa kushinda wakongwe.
 
Samahani lakini,3g ni kitu kingine tofauti.(3g ina maana ya 3grammes) Hapa tunazungumzia 3G katika masuala ya mtandao,Yaani third Generation.:wink1:

Umekariri vibaya 3g siyo 3grammes ila ingekua 3gm ndo ingekua gm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…