Viva viettel (halotel)

Viva viettel (halotel)

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,861
Reaction score
828
Tangu jana natumia mtandao wa viettel kiukweli upo fasta Sana na 3g Yao. Wanafanya majaribio tu lakini nimewakubali,ngoja tusubiri uzinduzi rasmi wiki ijayo
 
Tangu jana natumia mtandao wa viettel kiukweli upo fasta Sana na 3g Yao. Wanafanya majaribio tu lakini nimewakubali,ngoja tusubiri uzinduzi rasmi wiki ijayo

toa taarifa vizuri mkuu
laini zinapatikana mikoa ipi na ipi
 
Niko Arusha huku najenga minara yao...

Maeneo ya town washanza kufungua ofisi zao...
 
Line wanapewa wafanyakazi na ndugu zao!! Hata mimi nnayo yaani usipime ... Iko fast sana
 
Vietel ni jeshi la Vietnam, pamoja na matatizo yoote waliyonayo wameweza kuja kuwekeza nje ya mipaka yao. .hongera zao lakini VP KUHUSU TTCL YETU?

Ndugu TTCL imedumaa. Acha tz tuwekezwe hadi siku usafi wa mini yetu waje wawekezaji wa kutoka nje
 
Samahani lakini,3g ni kitu kingine tofauti.(3g ina maana ya 3grammes) Hapa tunazungumzia 3G katika masuala ya mtandao,Yaani third Generation.:wink1:
 
Wana data package ya unlimited? True unlimited sio ya kitapeli ya mitandao mingine
 
Back
Top Bottom