Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,633
mapigo gani? Nahisi kama sijaelewa!
wanandoa tushaelewa...
mapigo gani? Nahisi kama sijaelewa!
Unanikumbusha marehem baban'gu, aliniusia siku ya ndoa yangu "hawa hawasikii lugha yoyote duniani iwe ya ukali iwe ya upole, wanasikia mapigo tu..."
Mmmh. I can imagine. Was he trying to tell something about the women in his life?
Mbona mie sioni hivyo viungo hapa?!Maji ni Maji LAKINI yakitiwa viungo na nyama huitwa MCHUZI, yakitiwa sukari na matunda huitwa JUISI, yakitiwa majani huitwa CHAI, na pia yakichanganywa na Udongo na uchafu huitwa TOPE .
KADHALIKA , Ndoa ni ndoa lakini ubunifu na mchango wako katika kuilea Ndoa yako ndio utaikamilisha maana halisi ya Ndoa unayoitaka. Ukichanganya vyema utaipata ndoa yenye FURAHA, UPENDO,HURUMA na AMANI na ukikosea kuchanganya NDOA hugeuka NDOANA.