Viungo vya Ndoa

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Maji ni Maji LAKINI yakitiwa viungo na nyama huitwa MCHUZI, yakitiwa sukari na matunda huitwa JUISI, yakitiwa majani huitwa CHAI, na pia yakichanganywa na Udongo na uchafu huitwa TOPE .


KADHALIKA , Ndoa ni ndoa lakini ubunifu na mchango wako katika kuilea Ndoa yako ndio utaikamilisha maana halisi ya Ndoa unayoitaka. Ukichanganya vyema utaipata ndoa yenye FURAHA, UPENDO,HURUMA na AMANI na ukikosea kuchanganya NDOA hugeuka NDOANA.
 

Yaani kama huja ''qoute'' haya maneno kutoka kwa kungwi yoyote anayewafunda wanandoa basi utakuwa leo umepata upako wa Obama maana umeongoea pwenti ya ndoa hadi raha.
That's naked true about marriage.
 
Ukubwa dawa...naona siku zinavyozidi na busara zinashika kasi. Thank you Boflo
 
Last edited by a moderator:
kuna mtu kaiba password yako sio bure.
 

Unanikumbusha marehem baban'gu, aliniusia siku ya ndoa yangu "hawa hawasikii lugha yoyote duniani iwe ya ukali iwe ya upole, wanasikia mapigo tu..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…