kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Bundi ni ndege anayeonekana kama mwenye gundu na anahusishwa na mambo ya nguvu za giza.Akijitokeza mchana ndege wangine humshambulia sana!Hivi huyu naye aliumbwa na Mungu?na kama ni kweli kwa nini achukiwe hivi na viumbe wengine?je huenda kuna binadamu pia hawakuja duniani kwa mapenzi ya Mungu?kwani vyovyote wafanyavyo wanaonekana na gundu tu mf watu weusi wengi!Nimejiuliza nikafikia kuamua kwamba huenda kuna viumbe kama huyo Mungu hakuviumba
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums