Bundi ni ndege anayeonekana kama mwenye gundu na anahusishwa na mambo ya nguvu za giza.Akijitokeza mchana ndege wangine humshambulia sana!Hivi huyu naye aliumbwa na Mungu?na kama ni kweli kwa nini achukiwe hivi na viumbe wengine?je huenda kuna binadamu pia hawakuja duniani kwa mapenzi ya Mungu?kwani vyovyote wafanyavyo wanaonekana na gundu tu mf watu weusi wengi!Nimejiuliza nikafikia kuamua kwamba huenda kuna viumbe kama huyo Mungu hakuviumba
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ni kiumbe cha mungu pia, ingawa kidizain siwafeel kwa tabia zao mbaya
Ni ndege mzuri tu, wanaadam ndo wanamchukulia vibaya kutokana na mazingira ya kuonekana kwake usiku, ila hana tatizo lolote kwani kuna jamaa yangu aliwahi kumfuga miaka ya nyuma.
Na majani ya bangi je?
Ni mmea, ila unapigwa marufuku sehemu kubwa ya dunia hii.
Bora bundi kuliko binadamu... Kina wanadamu wana roho chafu sijapata kuona unaweza kufikiri hawakuumbwa na Mungu
Mi mwenyewe nimefuga bundi. Mayai yao ni matamu sana na hata nyama yao ni nzuri kuliko ya bata, tatizo ni wagumu kuwachinja. Ukianza tu yale maho yao makubwa huanza kutiririsha machozi