Vituo vya redio na TV na mfumo wa Digital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituo vya redio na TV na mfumo wa Digital

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by JAYJAY, Oct 18, 2010.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,495
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  Wadau, nimeshaona minara yakurushia matangazo ya redio mara nyingi kila kituo kina minara yake (sijui kama kuna vituo vina'share' matumizi ya minara hiyo).nimewahi kusoma kuwa katika mfumo wa digital vituo havitakuwa na kazi ya kurusha matangazo bali kuna kampuni zimepewa kazi hiyo(nadhani ni 'multiplexor' kama sijakosea). je, wadau hii inamaanisha kuwa hizo kampuni ndizo zitakuwa au zitatakiwa kumiliki au kuweka minara hiyo?, je hii inamaanisha pia kuwa mchakato wa kufungua au kuanzisha redio utakuwa nafuu kwa sababu mmiliki hatatakiwa tena kufikiria gharama za uwekezaji kwenye minara au kutakuwa na gharama zitakazochajiwa na hizo kampuni? je, gharama hizo hazitaweza kuwa kikwazo kwa uanzishwaji wa redio? vipi pia kuhusiana na vituo vya tv, je mchakato ni huo huo kama wa redio?
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Jay;

  Kuna thread humu JF iliwahi kuongelea sana hilo . . . .

  You can search it . . .
   
Loading...