Kuna mpango wowote wa teknolojia ya uchawi kuwekwa hadharani?By the way uchawi na milipuko wapi na wapi?
Nilikuwa mfuatiliaji mzuri wa vipindi vilivyokuwa vinayotolewa na wataalam kutoka BP enzi zile ITV ndio nilijifunza hilo la umbali baada ya mdau mmoja kuuliza akitolea mfano wa vituo vya pale Fire kisha Magomeni na Mwembechai
Ndio hiyo hapo d. Unatafuta mtaalamu aliyesajiliwa unamlipa kama milioni 3. Kisha anakuandalia document uzipeleke huko napo ukalipie
Plus kiwanja, kununua matanki na kuyafukia chini kujenga ofisi zen kufuatilia Leseni brela, nemc na ewura inafika 400Mashine pampu? Pampu moja milioni 15 ukitaka nzuri
Nalifahamu...wakati linazinduliwa niliwepo kama mgeni mualikwaKuna mpango wowote wa teknolojia ya uchawi kuwekwa hadharani?
Pili temeke njia ya kwenda buza kuna duka moja nimeona wanauza pembe, tunguli, ungo, mikia ya wanyama nk ni kama parts za vifaa vya wachawi ushawahi liona ama kulisikia maama ni kama idea mpya hii
Kuna sheria wanamalizia kuiandaa kwa ajili ya vituo vidogo vya vijijini ambapo ni mobilePlus kiwanja, kununua matanki na kuyafukia chini kujenga ofisi zen kufuatilia Leseni brela, nemc na ewura inafika 400
Kinachoangaliwa hapo ni kubadilisha matumizi. Ushawahi kuona mabango kuhusu mabadiliko ya matumizi toka makazi kwenda sheli ama hotel.Nikimnukuu yule mtaalam wa BP alisema haya ninayokumbuka
1. Kituo hadi kituo umbali ni km 5
2. Kituo kinapaswa kiwe eneo lisilo na msongamano wa watu au makazi
3. Kituo kinapaswa kujengwa pembezoni mwa mwisho wa hifadhi ya barabara na si mitaani kwenye makazi ya watu
4. Kituo kiwe na miundombinu ya kufikika haraka wakati wa dharura
Fafanua tafadhali.. Umeniacha kidogoKinachoangaliwa hapo ni kubadilisha matumizi. Ushawahi kuona mabango kuhusu mabadiliko ya matumizi toka makazi kwenda sheli ama hotel.
Nikiwa ni mmoja wa wadau wa sekta hii nasikitika sana kwa tunayoyafanya.
Nikimnukuu yule mtaalam wa BP alisema haya ninayokumbuka
1. Kituo hadi kituo umbali ni km 5
2. Kituo kinapaswa kiwe eneo lisilo na msongamano wa watu au makazi
3. Kituo kinapaswa kujengwa pembezoni mwa mwisho wa hifadhi ya barabara na si mitaani kwenye makazi ya watu
4. Kituo kiwe na miundombinu ya kufikika haraka wakati wa dharura
Hebu soma hiyo ujionee maajabuHuo ndio utaratibu ila haufwati.
Juzi nilipita mitaa ya temeke kule karibia na stend ya kuelekea mikoa ya kusini. Jirani na pale kuna jamaa kanunua nyumba 2 kazibomoa anajenga petrol station eneo hilo japo ni barabarani amezungukwa na makazi ya watu pia petrol station nyingine ipo karibu na hiyo anayojenga.
Bongo hapa sheria nyingi zipo Kwenye makaratasi ila hazitekelezwi
Acha uongo,vituo vimeanza kujengwa kwa wingi kwenye makazi ya watu kipindi cha Kayafa na sasa ndio kasi imeongezeka.Afu Hivi Vituo mbona Vimeibuka kama Uyoga ndani Ya muda mfupi Kama miezi Mitano Iliyopita?.....!
Achana nae huyo,sijui anamdanganya naniMisukule ya dikteta mna tabu,yaani hapo na ujinga wako unataka kusema wakati wa mungu wenu Magufuli hayakuwepo haya
Upande mmoja wa Barabara kituo hadi kituoNimeona sheria ya sasa inasema mita 200 bado nina mashaka na hii sheria ni mita 200 toka makazi ya watu au kituo hadi kituo?