Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,462
- 4,541
😂😂😂😂Wazir huyo atahimili mziki wa wauza mafuta
Ova

Yule jamaa kazi yake ni kununua Nyumba za watu kubomoa na kujenga petrol stationsNieshangaa kuna mjini Songea kuna jamaa kanunua nyumba 5 katikati ya makazi ya watu na kuzivunja anajenga kituo cha mafuta, hii ni sawa kweli?
maana wanaonunua apartments za million 300 nao tuwaweke fungu gani? Hata hao nao sio money laundering wengi ni za urithi🥱Sasa huyu nae ni nani ananifinya hapa nlipokaa anasema eti money laundering. Sasa inahusikaje hapa? Eti GTs Yani kwamba watu wanasafishia hela zao kwenye vituo vya mafuta? Aah sidhani. Ngoja nimjibu nimwambie sidhani kama ni money laundering maana wanaonunua apartments za million 300 nao tuwaweke fungu gani? Hata hao nao sio money laundering wengi ni za urithi🥱
Najua umesoma Cuba kaka angu😃 umenielewamaana wanaonunua apartments za million 300 nao tuwaweke fungu gani? Hata hao nao sio money laundering wengi ni za urithi🥱
Nchi hii ina mabomu kila Kona,hospitari mgonjwa wa mguu,anapasuliwa kichwa,wa kichwa anapasuliwa mguu!!Tujiulize maswali haya
Je mipango miji inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi ya watu?
Je sera ya mamlaka ya viwango na ubora inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi ya watu?
Vipi wizara ya miundombinu?
Vipi wizara ya mazingira?
Jeshi la zimamoto je nalo haliwezi kuhusika hapa?
Kimsingi pamoja na tahadhari zote za usalama zinazochukuliwa lakini bado haishauriwi kuwa na vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi ya watu. Na sheria ya vituo vya mafuta inasema kuwe na umbali USIOPUNGUA kilometer 5 nadhani kati ya kituo kimoja hadi kingine
Mafuta ni kitu kinachoweza kulipuka kwa haraka sana na kusababisha maafa makubwa ya watu na vitu kwa muda mfupi mno.. Hata magari yake na sehemu za kuhifadhia hayo mafuta zina alama kubwa za tahadhari ya hatari INFLAMMABLE (VILIPUZI)
Ni taasisi gani imeruhusu hili jambo la hatari kiasi hiki katikati ya mji na makazi ya watu na bila kuzingatia umbali kama sheria inavyotaka?
Kuna kampuni imeotesha vituo vya mafuta kila kona ya jiji ndani na nje, kwenye makazi ya watu, kwenye misongamano, kwenye maofisi na hata karibia kabisa na ofisi za mamlaka ya juu ama nyeti... Mtandao wa hivyo vituo unaleta mashaka na kutia hofu kubwa hasa katika kipindi hiki dunia inapopambana na ugaidi wa kila aina
Imagine itakuwaje kikatokea kikundi cha magaidi (Eeh Mungu tuepushe) kikakamata vituo vinne tu katikati ya jiji na kuvilipua... !? Ninini kitatokea?
Miundombinu yetu na vifaa vyetu kwenye kupambana na majanga makubwa ya moto bado sana... Tumewekeza kwa nguvu sana kwingine kote lakini sio kwenye kikosi cha zima moto... Tunaishi tu kwa kudra za mwenyezi Mungu...!
Kampuni husika iliyootesha vituo husika ndani katikati ya jiji la Dar imeishia kupigwa faini ya Tsh bilion tatu... Achilia mbali kama zitalipwa ama la ... Swali la kujiuliza je tuko tayari kuhatarisha maisha ya mamalioni ya watu na mali zao kwa ajili ya bilion 3? Maana baada ya kupigwa faini pengine ataruhusiwa aendelee na biashara.. NADHANI...!
Ni ngumu kumwambia abomoe kwakuwa pengine ana nyaraka zote muhimu za kumruhusu kufanya ujenzi na kufanya biashara..! Akizuiwa ndio mwanzo wa kushikana uchawi na pengine hakuna aliye tayari kufanya hivyo! Kwakuwa pengjne kila mmoja kala kwa urefu wa kamba yake!
Ni mpaka pale tutakapopigwa tukio moja baya kubwa na la kustukiza ndio akili zitatukaa sawa! Lakini tutaunda na tume? Jibu ni ndio kwakuwa huo sasa umekuwa utamaduni wetu...!
Jana wezuia ujenzi wa vituo hivyo kwa.miezi 3.Tujiulize maswali haya

Inasaidia Magari kutovuka barabara pindi wahitajipo hudumaSiku hizi upande huu kuna kituo, upande mwingine wa barabara kuna kituo kingine Rubish kabisa
Tunapohamasisha kwenda ulimwengu WA gesi, hivi vituo inabidi viongezeke na kuwa Karibu na watumiaji, ni salama zaidi mitungi ya gesi kuuzwa vituo vya mafuta kuliko Sasa inavyouzwa masokoni na vibanda visivyokuwa salama!! Watanzania tupunguze wivu usiokuwa na tija!! Kituo Cha mafuta/gesi kinakuletea madhara gani!? Hakuna sehemu imeandikwa kuwa kituo Cha mafuta ni sehemu ya Moto, by the way nyumba zinaungua zaidi ya vituo vya mafuta!! Nishauri wanaohusika kuaratibu kuwashauri wenye navyo wazingatie taratibu zote za usalama na Sio kuanza kuwasumbua na kuwawezesha Ewura, OSHA, na Nemc kufanya hii biashara kuwa kisima Chao cha rushwa kila uchao!! Tunaimba energy invasion Huku tunajikata mkonoKutoka Kibada mpaka round about ya kwenda darajani vipo 7! Umbali usiozidi 5km
Vinazidi kuchipuka kila kona ya mjiHapa Tandale barabara nzima toka Sinza hadi Kanisani kulikua hamna vituo. Sasa hivi vimeota kama uyoga na tunafurahi kwasababu walau taswira nzuri inaonekana. Yale majumba mabovu yote wameyabomoa.
Utamaduni wa kimachinga.