Vitunguu Vinauzwa

Vitunguu Vinauzwa

Hivi vitunguu vina hitaji maji mengi katika ulimaji?
 
Wakuu habarini za leo...tunauza vitunguu, Red Bombay vizuri tu, vipo ghalani barabarani kabisa; jirani na Wami Dakawa-Mvomero, Morogoro.

0715 389 633 au 0784 389 633

gonga link hii kwa maelezo zaidi...


vitunguu na mpunga - kilimo101

Mnalima au mnanunua kwa wakulima? sifa moja ya red bombay, havikai muda mrefu baad aya kuvuna vimevunwa lini?
 
Naomba sana nielemishwe juu ya upandaji, utunzaji na gharama yote inayohitajika kulima ekari moja ya vitunguu vya Red Bombay. Pia soko la vitunguu hivi nitapata wapi pindi nitakapoivisha?.
 
Back
Top Bottom