vitumbo kwa wanawake

vitumbo kwa wanawake

babu shikamoo ila tuheshimiane.tuacheni tupumue
Huu ni ugonjwa ambao wahusika wanatakiwa kuufanyia kazi.....

Kadri wanaume wengi wanavyopigana na vitambi, naona kama wanawahamishia wadau wao....

Sitaki kusema mengi ila vitambi vya kupitiliza vinakera sana....

Babu DC!!
 
Kadri wanaume wengi wanavyopigana na vitambi, naona kama wanawahamishia wadau wao....

Bado unaweza kutupa rate ya jinsi wanaume wanavyopigania na vitambi?

Nafikiri watu wengi wangependa kupunguza vitambi lakini hawana motivation.
 
si unaniona full kunenepeana eti nijipunguze tena
946592_310200172446661_444444811_n.jpg
Classified Advertisement?????
 
Bado unaweza kutupa rate ya jinsi wanaume wanavyopigania na vitambi?

Nafikiri watu wengi wangependa kupunguza vitambi lakini hawana motivation.

Naomba urudie tena...nimesema wanapigana na vitambi...sijasema wanavitamani...au?

Babu DC!!
 
babu shikamoo ila tuheshimiane.tuacheni tupumue

Wewe kitambi umekitoa wapi?

Endelea kuwazingua...

Naenda kutimiza wajibu wangu wa kuwapatia wajukuu fasihi simulizi...

Babu DC!!
 
I meant ulichomaanisha. Rate ya wanaopigana na vitambi.

Ni kubwa sana aisee...

Juzi juzi tulikuwa na mkutano mahali...karibia 9/10 ya wanaume niliokuwa nao wana strategies za kupunguza uzito.

Kuna rafiki yangu yeye alikata kutoka zaidi ya 90kg hadi 60.

Ila bado kuna baadhi ya wanaume ambao wanatukuza vitambi na kuvipalilia.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Juzi juzi tulikuwa na mkutano mahali...karibia 9/10 ya wanaume niliokuwa nao wana strategies za kupunguza uzito.

Babu hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa.

Kwa nini mwanaume apunguze uzito?

Tatizo ni uzito au ni unene?

Nilidhani "weight" na "fat" ni vitu viwili tofauti?
 
Babu hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa.

Kwa nini mwanaume apunguze uzito?

Tatizo ni uzito au ni unene?

Nilidhani "weight" na "fat" ni vitu viwili tofauti?

Kwani BMI inaongelea nini mkuu?
 
Kwani BMI inaongelea nini mkuu?

Babu,

You can be a normal weight according to your BMI, but you might be toting around extra belly fat that the BMI doesn't take into account.

BMI, which compares your weight to your height, can't distinguish between lean, sexy, healthy muscle and excess body fat -- especially belly fat, which raises your risk for heart attack, stroke, diabetes, cancer, worsening arthritis, dementia, and more.

Don't Let Belly Fat Fool Your Body Mass Index (BMI) - Waist Size Matters Too - RealAge
 
I literaly starved myself, it was 5 weeks. I weighed 72kg sasa hivi nina 64kg and nakula lkn naangalia amount ya carbs no fat at all na lots of fruits as snack.

Unaweza kuwa na kilo nyingi na usiwe na kitambi, ila vile vile inategemea na urefu wako.
Mfano, mimi nina urefu wa 179cm, nina uzito wa 76.8 kgs na sina kitambi.
 
Aisee kama ulishazaa, ukaanza kunenepa bila mazoezi, situps au kubana tumbo (reallocating fats) uwezekano wa tumbo kunenepa no mkubwa sana.
Na ukijikondesha kwa diet, tumbo plus masaburi vinapungua as fats zote zinatumika kutengeneza nguvu. My point is, lifestyle yako yaweza ongeza au punguza mtumbo.

hahahaaa... Kwakweli sijawahi fanya diet na sitakuja kufanya, sitegemei kuongezeka au kupungua, coz hata ukiongezeka sana mtumbo ukafutuka ile 8 itashindwa kujichonga...lol!

Kuna wengine wembamba lakini wanavitambi, ndio ushangae sasa, sijui na wenyewe ni afya!!!???
 
ila kitambi kina mvuto wake jamani

Kina mvuto kama umejazia ta.ko ukiwa nyuma umepigwa pasi unageuka kituko, unaonekana una mimba isiyo kuwa na umri.
 
hahahaaa... Kwakweli sijawahi fanya diet na sitakuja kufanya, sitegemei kuongezeka au kupungua, coz hata ukiongezeka sana mtumbo ukafutuka ile 8 itashindwa kujichonga...lol!

Kuna wengine wembamba lakini wanavitambi, ndio ushangae sasa, sijui na wenyewe ni afya!!!???

Nao hao wembamba wanafakamia mno bia,kitimoto, michemsho bila kusahau chipsi kuku.
 
sasa hivi sijipunguzi tena kama mtu hataki aache!

yanini ujipunguze smile? Kama umbo lako liko hivyo usiangaike, mwishoe ukakosa nyuma bure, kitambi kikabaki palepale..lol!

Kila mtu na alivyoumbwa kuna wengine wanene lakini hawana vitambi na kuna wembamba vitumbo vimechomoka utafikiri anazaa kesho!
 
Back
Top Bottom