vitumbo kwa wanawake

vitumbo kwa wanawake

unakuta msichana mzuri kaumbika kiafrika na anavutia ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia yanii
wengine hata wajazaa bado sasa walikwisha kuwa wazaxi wanajiachia sana ndio tunapenda bantu figure ila liwe natural sio la kupikwa kwan linanenepesha kila kitu....na sku hizi na body suit zao zunaaacha vitambiiii bwereeeeee

hawafanyi kaz nzito, mama yangu alikuwa akienda shamba, akitwanga mahindi na mpunga na shughul nyingne na hakuwa na kitambi. Sasa hawa kula kulala, chips mayai na kuku wa kichina unategemea watakuwa na bantu fiqure?
 
vitumbo....my biggest turn off...ila kama kuna --sura--figa--nyumanju---nitakivumilia kitumbo tu
 
Kwa upande wangu sioni tatizo, lkn kwa wanaume wanaopenda big behinds inawapunguzia raha yao.

Wabongo wanapenda vitu vikubwa. Nyumba kubwa, gari kubwa, msosi mkubwa, vyeo vikubwa, masaburi makubwa, and the list goes on.

Recently nimekata 8 kilos so nina experience na cutting up some fats, maana l had to change the whole wardrobe. Sarawili zilizokuwa hazifungi sasa hivi zachea.

Hongera. Kilo nane ni nyingi aisee. What did you do na ilikuchukua muda gani?
 
ukisema usikilize wawa opposite sex wetu utakufa mifupa mitupu ... nimechoka kujikondesha mweeenina miezi mitatu sijawai kunywa soda supu michemsho wala uji

Hapo umenena. Wengine ni wanene genetically, wengine wana bones kubwa lakini wanataka kuwa hivi

Victoria-Beckham-RS13-3069.jpg
 
I literaly starved myself, it was 5 weeks. I weighed 72kg sasa hivi nina 64kg and nakula lkn naangalia amount ya carbs no fat at all na lots of fruits as snack.
Wabongo wanapenda vitu vikubwa. Nyumba kubwa, gari kubwa, msosi mkubwa, vyeo vikubwa, masaburi makubwa, and the list goes on.

Hongera. Kilo nane ni nyingi aisee. What did you do na ilikuchukua muda gani?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
si unaniona full kunenepeana eti nijipunguze tena
946592_310200172446661_444444811_n.jpg
Mbona iko vizuri tu, au unataka uwe skinny. That is the right figure for a woman bwana. Ujue pelvic bones za vimbaombao zinawaumiza wanaume, muulize mzabzab.
 
Last edited by a moderator:
Mbona iko vizuri tu, au unataka uwe skinny. That is the right figure for a woman bwana. Ujue pelvic bones za vimbaombao zinawaumiza wanaume, muulize mzabzab.
sasa hivi sijipunguzi tena kama mtu hataki aache!
 
unakuta msichana mzuri kaumbika kiafrika na anavutia ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia yanii
wengine hata wajazaa bado sasa walikwisha kuwa wazaxi wanajiachia sana ndio tunapenda bantu figure ila liwe natural sio la kupikwa kwan linanenepesha kila kitu....na sku hizi na body suit zao zunaaacha vitambiiii bwereeeeee
Kha, walah Sijawahi ona sentensi refu namna hii. Halafu, ulitaka kusema nini vile?
 
I literaly starved myself, it was 5 weeks. I weighed 72kg sasa hivi nina 64kg and nakula lkn naangalia amount ya carbs no fat at all na lots of fruits as snack.

That's good. Kupunguza unene muhimu pia kurekebisha jikoni.

No mazoezi kabisa?
 
Huu ni ugonjwa ambao wahusika wanatakiwa kuufanyia kazi.....

Kadri wanaume wengi wanavyopigana na vitambi, naona kama wanawahamishia wadau wao....

Sitaki kusema mengi ila vitambi vya kupitiliza vinakera sana....

Babu DC!!
 
sasa hivi sijipunguzi tena kama mtu hataki aache!

Jipunguze au jiongeze kwa afya na raha zao, siyo kwa raha za wengine.

You aren't someone's trophy unless you want to.
 
Back
Top Bottom